Pole Sana! Kigamboni ni kisiwani?.Kwahiyo wakati unatufundishia watoto Geography unawaambia Kuna Kisiwa cha Kigamboni,Mafia, n.k Kwa akili hizi tunahitaji katiba mpya.Kwanini ukaishi Kisiwani?
Huogopi Tsunami?! [emoji3][emoji28]
Pole Sana! Kigamboni ni kisiwani?.Kwahiyo wakati unatufundishia watoto Geography unawaambia Kuna Kisiwa cha Kigamboni,Mafia, n.k Kwa akili hizi tunahitaji katiba mpya.
Mmmh hapo goba kukatiza makongo juu wee....kipande kirefu hataree mpaka uifikie survey ni umechoka na bado hapo hujakutana na jam[emoji848]Goba pazuri mno.
nikikatiza zangu makongo dk10 niko mlimani city.
dk 15 niko mikocheni
dk25 niko sea cliff
popote nafika kwa wepesi, goba iko center sana.
Kuwa na adabu mkuu. Acha kufananisha goba na takataka nyingine, goba is the next mikocheni kama sio masaki kabisa.
Yooh, Its like you are in New York and living in Manhattan 😁😁😁😁, you're surrounded by water, I am always happy when I'm surrounded by water.Kwanini ukaishi Kisiwani?
Huogopi Tsunami?! [emoji3][emoji28]
Nimecoment Kwa utani tu Mkuu.Maana sijui kama wewe ni mwalimu ama la nikaishia na katiba mpya.Huwa watu wanaongea hivyo kwa utani tu Kwa hiyo usichukulie seriously.
Sifa zingine bwana!Kiwanja Geza ukose mtu?Alafu sio wakazi wote wa Kigamboni wanapanda Pantoni.Labda Nikumbushe tu kuwa 80% wanaovuka pale ni wanachuo wale wa Mwalimu Nyerere na IFM ambao karibu 70% wamepanga Kigamboni.Sema Nini Mkuu ni mahaba tu ya sehemu unayoishi ndio muongozo wa comment za hapa.Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.
Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
Ndio wanaongoza nchi Kwa Sasa.Alafu Wana raisi wao,wimbo wao wa Taifa,Wana Serikali Yao ambayo ni wao tu ni kuanzia Raisi mpaka Shea,Pia ndio pekee wanaomiliki viwanja Pwani na Bara.Hapo ukijipima basi utabaini huko Goba mnaishi vichaa.Kigamboni wanapenda wala urojo mashoga wa zenj. Goba washua mambo safi watu wenye akili kubwa.
Duh JF bhana. Uwe na kiwanja Geza ukose mteja kwa 15m?!!Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.
Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
🤣Fix nimemwambia huko juu asitafute sifa humu.Duh JF bhana. Uwe na kiwanja Geza ukose mteja kwa 15m?!!
Vuta subira Engineer ....ukitaka kitoke haraka hiko kiwanja wape kazi watu wanaouza viwanja hasa hasa makampuni .Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.
Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
Nimeshangaa kwakweli ila nkaona nsibishane naye huenda labda hajafanya promotion ya kutoshaDuh JF bhana. Uwe na kiwanja Geza ukose mteja kwa 15m?!!
Yawezekana kiwanja ni 15/15Duh JF bhana. Uwe na kiwanja Geza ukose mteja kwa 15m?!!
😅😅😅Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
unaongelea kigamboni ya mwaka gani ndugu? usikariri mambo nenda vuka daraja kajionee mwenyewe.Basing on my opinions Goba kupo sawa zaidi kuliko Kigamboni. Goba kuna service zote pia karibu na mjini changamoto za foleni na usafiri ukiwa goba ni nafuu zaidi kuliko Kigamboni.
kwa sasa Kigamboni inakosa Hospital kubwa za rufaa, soko kubwa nk - lakini kutoka Kigamboni lets say kufika hospital ya muhimbili ama Aghakhani ni takribani dk 20 tu, Kariakoo pia ni 10 to 15 minutes same as city center (Posta).Kuhusu potential ya kigamboni bado haitabiriki lakini ninachojua itakuwa mji flani wenye kujitosheleza kila kitu tofauti na maeneo kama goba ambayo itaendelea kutegemea sehemu zingine za dar kupata service.
Ntumie namba yako kwanza kabisa huko Pm ili nikienda nakuwa na namba yako kabisa tukutane tule lunch wakati tunajadili mustakabali wa kupata hilo eneo.Goba kubwa, kuna mtaa unaitwa muungano, yupo jamaa amegawa shamba lake 30x30 unapata, pesa uwe nayo. Ni pm kwa maelezo zaidi. Kama huyajui maeneo hayo, neñda ka-sarvey kwanza. We uliza serikali ya mtaa wa muungano Goba ipo wapi. Nenda maeneo yale. Ukipenda sasa ni mp kwa maelezo zaidi. Umeme upo, mabomba ya maji Dawasco yapo mita chache kutoka site.