Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.

Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
 
Goba pazuri mno.
nikikatiza zangu makongo dk10 niko mlimani city.
dk 15 niko mikocheni
dk25 niko sea cliff
popote nafika kwa wepesi, goba iko center sana.
Mmmh hapo goba kukatiza makongo juu wee....kipande kirefu hataree mpaka uifikie survey ni umechoka na bado hapo hujakutana na jam[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.

Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
Sifa zingine bwana!Kiwanja Geza ukose mtu?Alafu sio wakazi wote wa Kigamboni wanapanda Pantoni.Labda Nikumbushe tu kuwa 80% wanaovuka pale ni wanachuo wale wa Mwalimu Nyerere na IFM ambao karibu 70% wamepanga Kigamboni.Sema Nini Mkuu ni mahaba tu ya sehemu unayoishi ndio muongozo wa comment za hapa.
 
Kigamboni wanapenda wala urojo mashoga wa zenj. Goba washua mambo safi watu wenye akili kubwa.
Ndio wanaongoza nchi Kwa Sasa.Alafu Wana raisi wao,wimbo wao wa Taifa,Wana Serikali Yao ambayo ni wao tu ni kuanzia Raisi mpaka Shea,Pia ndio pekee wanaomiliki viwanja Pwani na Bara.Hapo ukijipima basi utabaini huko Goba mnaishi vichaa.
 
Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.

Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
Duh JF bhana. Uwe na kiwanja Geza ukose mteja kwa 15m?!!
 
Nina kiwanja kigamboni, Gezaulole just 13km kutoka ferry,nimetafuta wa kunipa hata 15M sijampata. Kigamboni hasa kuanzia Geza kwenda mbele viwanja ni bure kabisa.

Kingine kinachonikela kigamboni wakazi wake wanashida, wanakimbia kimbia hovyo wakitoka kwenye pantoni utadhani wanaumwa kichaa
Vuta subira Engineer ....ukitaka kitoke haraka hiko kiwanja wape kazi watu wanaouza viwanja hasa hasa makampuni .
Ukiwapa madalali watakuumiza tuu
 
Kuhusu potential ya kigamboni bado haitabiriki lakini ninachojua itakuwa mji flani wenye kujitosheleza kila kitu tofauti na maeneo kama goba ambayo itaendelea kutegemea sehemu zingine za dar kupata service.
kwa sasa Kigamboni inakosa Hospital kubwa za rufaa, soko kubwa nk - lakini kutoka Kigamboni lets say kufika hospital ya muhimbili ama Aghakhani ni takribani dk 20 tu, Kariakoo pia ni 10 to 15 minutes same as city center (Posta).

Sasa ile njia ya juu ya hapo BP zamani ikiisha, pamoja na exchange ya pale karibia na uwanja wa Taifa - Kigamboni itapaa sana na ni sehemu nzuri sana hasa kwa vijana wanaoanza maisha.
 
Goba kubwa, kuna mtaa unaitwa muungano, yupo jamaa amegawa shamba lake 30x30 unapata, pesa uwe nayo. Ni pm kwa maelezo zaidi. Kama huyajui maeneo hayo, neñda ka-sarvey kwanza. We uliza serikali ya mtaa wa muungano Goba ipo wapi. Nenda maeneo yale. Ukipenda sasa ni mp kwa maelezo zaidi. Umeme upo, mabomba ya maji Dawasco yapo mita chache kutoka site.
Ntumie namba yako kwanza kabisa huko Pm ili nikienda nakuwa na namba yako kabisa tukutane tule lunch wakati tunajadili mustakabali wa kupata hilo eneo.
 
Back
Top Bottom