Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

Ntumie namba yako kwanza kabisa huko Pm ili nikienda nakuwa na namba yako kabisa tukutane tule lunch wakati tunajadili mustakabali wa kupata hilo eneo.
Lunch tena!! Sio lazima sana...
Nilivyosoma text yako ikabidi nimpigie kijana aliekabidhiwa, ipo hiv 20x20 anauza milion 20, huko nyuma niliandika 30x30 sio. Anao mtaa mzima. Mimi sio dalali ila nina kiwanja jirani na hivyo viwanja.
Kakomaa na bei aliongeza baada ya miundombinu ya maji kuwekwa. Huko nyuma alikuwa anauza hiyo 30x30.
Kama kweli upo unahitaji ni Pm halafu fuatilia kwa muda wako ukajiridhishe
 
Okay.fine assume umepatwa na emergency ili ambalance ifike muhimbil lazim usubir panton.
 
Goba is the best.
 
May be yes may be .kwa sasa ili mji ukue lazima wawe na stend feri sio eti stendi iwe wilayani maana naona stendi inataka iwe wilayani.yan mtu unatoka kibada unaacha kwenda feri ambapo ndio unaenda mjini kufanya mihangaiko yako inabid uende wilayan upande gar nyingine feri.kule feri lazima pawe na stend yanuhakika sio ile ya sasa hiv isiyo yanuhakika.
 
Okay.fine assume umepatwa na emergency ili ambalance ifike muhimbil lazim usubir panton.
Daraja lipo.Unapita Darajani.Nimeona juzi Ambulance iliingia na mgonjwa kwenye Panton ikapiga kig'ola Panton ikang'oa nanga bila abiria kuiwaisha Ambulance.Nafiri ndio Sheria ya Pale.Sasa huko Goba Kuja Muhimbili !!!!🤭
 
Changamoto ya Goba ardhi ina miinuko na mabonde Ila ni sehemu nzuri Kwa kuishi , kigamboni ni kama Tu upo kwenye nchi nyingine...!!

Goba pa kishuaaa, ipo connected na maeneo yote mhimu ya mji Kwa shortcut
Toka Goba mimi nitoke kigamboni tukutane K/Koo tuone wapi papo connected
Kuhusu ushuani, well kigamboni ni ushuani maeneo mengi Anzia Mji mwema, Kibada, Geza nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…