Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Lunch tena!! Sio lazima sana...Ntumie namba yako kwanza kabisa huko Pm ili nikienda nakuwa na namba yako kabisa tukutane tule lunch wakati tunajadili mustakabali wa kupata hilo eneo.
Nilivyosoma text yako ikabidi nimpigie kijana aliekabidhiwa, ipo hiv 20x20 anauza milion 20, huko nyuma niliandika 30x30 sio. Anao mtaa mzima. Mimi sio dalali ila nina kiwanja jirani na hivyo viwanja.
Kakomaa na bei aliongeza baada ya miundombinu ya maji kuwekwa. Huko nyuma alikuwa anauza hiyo 30x30.
Kama kweli upo unahitaji ni Pm halafu fuatilia kwa muda wako ukajiridhishe