Gobless Lema ana elimu kiwango gani?

Gobless Lema ana elimu kiwango gani?

Ki elimu yuko vizuri, alipogombea Ubunge Arusha alikuwa ni Form IV leaver mwenye Div IV ya points 31, alianzia Kibohehe mpaka form II akaja kumalizia Arusha Meru, akajiendeleza chuo cha IIT kuanzia certificate, akaja Diploma, then Degree ya BBA, hivyo alipokuwa uhamishoni Canada atakuwa amerudi darasani, na kupiga masters, hivyo by now he could a Ph.D candidate from a reputable university.
Uchaguzi wa 2000 nilihidhuria kampeni zake Arusha na kuna siku niliuliza kitu humu Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Elimu ya Lema imezungumzwa sana humu Godbless Lema: Kuna vichaa wengi mitaani
P
Nimeona mahali Freeman Mbowe anajiendeleza Chuo kikuu huria shahada ya international relations.
 
Elimu haina mwisho!, mimi mwenyewe nikifika 60 na kustaafu rasmi ndipo na naji enroll kusoma Ph.D ya divinity kisha naenda Nigeria kuchukua vifaa, nakuja kufungua kanisa.
P
Mara nyningi huwa unaongea kama utani ila nikikusoma zaidi nagundua kuwa ndo namna yako yakueleza ukweli. Hata hili ulilosema linaweza kuwa kweli pia. Binafsi nakukubali San mkuu.
Kila lakher nguli.
 
Katika Politicking Elimu ya kitaa na elimu ya kuishi na watu ina-trump elimu nyingine yoyote ile (after all mufa mrefu amekuwa mwakilishi wa wananchi) Tatizo watu mnataka watawala na sio wawaikilishi / watumishi wenu...

Lema aliweza sasa hizi Siasa kwa kuwa mmoja na kujichanganya na watu wake yaani anapigwa nao na polisi na kila kona yupo nao vijiweni n.k. (hence kuonekana ni mmoja wao / mwenzao na sio above them)

Jambo ambalo naona kama anataka kulipoteza inabidi arudi back to basics (Hii sio rocket science)
 
Hamna mwenye shule pale, hata hotuba zake unaona kabisa hana shule, angalia hotuba za zitto na lema utaona utofauti, hata heche anahotuba nzuri kushinda lema,
Shule, vyeti, elimu na uwezo ni vitu 4 tofauti!.
Kupiga shule ni kule tuu kuingia darasani kisoma hivyo Lema kaingia darasani kasoma ni msomi hata akipata zero!

Vyeti ni uthibitisho wa usomi hivyo Lema ana vyeti hata kama hujaelimika!

Elimu ni kuelimika, kuna watu wana Ph.D za vyeti lakini hawajaelimika, na kuna watu wameishia form 4 na div. IV lakini wameelimika kupita Ph.D!

Na mwisho ni uwezo, kuna watu wana elimu hadi ya Ph.D lakini uwezo ni sifuri!, na kuna mababu zetu hawakuingia hata darasani lakini wana uwezo mkubwa!.

2010 nimehudhuria kampeni za Lema form IV leaver wa Div. 4 akishindana na Ph.D holder wa CCM, Dr. Burian. Ph.D iligaragazwa vibaya!. Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema
P
 
Ki elimu yuko vizuri, alipogombea Ubunge Arusha alikuwa ni Form IV leaver mwenye Div IV ya points 31, alianzia Kibohehe mpaka form II akaja kumalizia Arusha Meru, akajiendeleza chuo cha IIT kuanzia certificate, akaja Diploma, then Degree ya BBA, hivyo alipokuwa uhamishoni Canada atakuwa amerudi darasani, na kupiga masters, hivyo by now he could a Ph.D candidate from a reputable university.

Uchaguzi wa 2000 nilihidhuria kampeni zake Arusha na kuna siku niliuliza kitu humu Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?

Elimu ya Lema imezungumzwa sana humu Godbless Lema: Kuna vichaa wengi mitaani hata hapa Wasifu wa Godbless Lema (MP) na hapa Tusipokubaliana na mtazamo wa Godbless Lema, CCM itaendelea kutawala na katiba ya Sitta itapita

Kampeni za Lema Arusha 2010 nilitia timu Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema
P
 
Pascal yuko sahihi hususan kimadarasa.Sina hakika na degree au diploma ila kwa mujibu wa taarifa rasmi za bunge alijiendeleza either online au night classes na kupata award fulani-diploma au degree .Tafitini msiconclude
 
President Mugabe alikuwa na zaidi ya 5 degrees, sasa angalia alivyo f...up Zimbabwe, haya makaratasi ya kukariri hayasaidii chochote
 
Back
Top Bottom