Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupo na ametuumba ili tumuabudu yeye, Quran ni ushahidi tosha kuonyesha uwepo wa Mungu
Mungu yupo na ametuumba ili tumuabudu yeye, Quran ni ushahidi tosha kuonyesha uwepo wa Mungu
Ulishawahi kujiuliza kwa nn ametuumba ili tumuabudu??,.je ni kwel kwamba sababu ni kumuabudu tu.kwa hiyo mungu anapenda kuabudiwa??,.
Ulishawahi kujiuliza nani anayemwongoza shetani katika kazi zake??,na kwa nn awepo shetani,kwa nn asiwepo mungu muweza wa yote??,
Ndio tumeumbwa ili tumuabudu TU (-quran;- "sikuwaumba majini na watu ila mniabudu mimi tu)
Mbona umejibu swali nusu,em endelea kujibu na mengine ama hukuyaona??
Mungu ndio anampa nguvu kiumbe yeyote. Yeye hana shida kutoka kwetu, hata tushirikiane viumbe vyote duniani kufanya maovu basi hatutamgarimu Mungu na wala ndio atashindwa, hapana, au tushirikiane kufanya ibada sisi wote katu hatutamzidishia chochote. Anachotaka tumuabudu tu, ametuleta duniani na ametuletea kitabu ili tumjue yeye
Kaleta kitabu gani?,,kwa hiyo unakubali shetani ni kiumbe cha mungu ?,mbona hukujibu shetan katoka wapi na kwa nn awepo.je maovu kuwepo duniani ni mpango wa mungu pia?
Ameleta taurat, injil, zabur na mwisho quran. Shetani ama jini ameumbwa na Mungu mwenyewe na quran inasema jini ameumbwa kwa moto, sio kila shetani ni muovu hapana, vile binadamu tunavyoishi wengine wanamuabudu Mwenyezi Mungu wengine hawamuabudu na wao ni hivyo hivyo, tumekaa kwenye kivuli cha kusema maovu yote ni shetani, kivipi? Tayari kwenye quran unatufundisha kumuepuka shetani (surat a-naas)
Ok naona unaelekea nnapopataka,sasa nambie kwa nn mungu aongoze matendo ya shetani na hapo hapo anasema tusimfuate shetan??,.,huoni kwamba unajichanganya.na kama anajua matendo yetu kila mmoja kwamba nidhaifu,kwa nn anamruhusu??,
Hujajibu swaliKama Mungu ametuumba na halafu akatupa na akili, akili zinatosha kuacha kumfuata shetani, unajua sisi ni bora kuliko shetani? Kisa cha shetani kulaaniwa na Muumba ni pale akipokataa ukweli huo kwamba akubali kua binadamu ni bora kuliko yeye, sasa inakuaje kiumbe dhaifu kama shetani anakutawala? Tatizo ni wewe mwenyewe kukubali kuongozwa na shetani na wala sio shetani kukuongoza yeye
Being born and raised in Afrika is enough reason, amongst many, not to believe in god.
Sadly, in a twisted way, there is a high correlation between poverty and a belief in god(s).
Ntarudi baadae....
This is not true....most of the western society had religious historical foundations and these are what have created the nodern society...
There is a correlation between laziness and poverty. ...and don't blame religion for one's poverty or inability to think in order to advance oneself
Unawahi kwenye Maombi?