Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Two words. Enlightenment era.
Praying is intellectual laziness.
That is subjective, and so it is true to a non believer...Like in science, scientists/practitioners take the existing theories into use by doing the prescribed/stated principles as they are stated in theories to reproduce similar events or disprove/enhance the principles.
So it is to a believe, praying is acting on the prescribed principles of his/her religion...
Everything is relative
If my intentions are to disprove/enhance the principles, where is the laziness in that?
Why pray if god can read your mind in the first place? Is god too lazy to just read your mind and wants to actually hear you say it?
Kama Mungu ametuumba na halafu akatupa na akili, akili zinatosha kuacha kumfuata shetani, unajua sisi ni bora kuliko shetani? Kisa cha shetani kulaaniwa na Muumba ni pale akipokataa ukweli huo kwamba akubali kua binadamu ni bora kuliko yeye, sasa inakuaje kiumbe dhaifu kama shetani anakutawala? Tatizo ni wewe mwenyewe kukubali kuongozwa na shetani na wala sio shetani kukuongoza yeye
The very one thing i like about these God stuffs ni pale mwanadamu alipopigwa marufuku kuhoji kuhusu Mungu! Ni Mungu huyu huyu ambae tunaaminishwa kwamba anatupenda wanadamu na ametujaalia hili ama lile bado ni Mungu huyo huyo ambae anatupiga marufuku kumchimba na kumchimbua kwa mapana na marefu! Sie tunaoendaga msikitini tunaambiwa; NO, in fact, TUNATISHWA kwamba kuchimbua sana kuhusu Mungu ni KUFURU! Ada ya mwenye kukufuru na moto wa Jehanamu...leo hii kila mmoja anaogoapa kukufuru; anaogopa moto wa Jehanamu! Ukienda upande wa pili, wale wa kanisani; nako si salama hata kidogo! Huko ukichimbua chimbua kuhusu mambo na related stuffs utaambiwa, no, UTATISHWA kwamba UNA MAPEPO, unapaswa kuombewa!! Kila mmoja anaogopa kuonekana ana mapepo, ambao bila shaka hawa nao hawatauona uzima wa milele! Ni Mungu mwenyewe ndie alitoa agizo kwamba tusimchimbechimbe au na hawa mawakala wake wanaokula kupitia jina lake! IKiwa ni Mungu mwenyewe ndie alitoa AGIZO, ni kwanini basi hakutaka tutumie uwezo aliotupatia ili tuweze kumchimba kisawa sawa? Anaogopa nini? Au ni hawa mawakala wake ndio wanatukataza kuchimbachimba kuhusu Mungu? Kama ndio, wanaogopa tutagundua nini? Ni kwamba wana mashaka juu ya uwezekano wa kuendelea uwapo wa mkate wao, au?