Unajuaje ulilouliza ni swali bila kutumia logic?
Proof??Islam is the truth. Islam wakes people up to reality, not puts them to sleep. That is why the West fears Islam.
Hahaha this is a billion dollar [emoji765] question.Kwa iyo wewe una amini kuwa Mungu ayupo?
Au unajua kuwa hayupo?
Hatakuwa tofauti na chochote ulichokiona na ulichokisikia katika viumbe vyakeKwahiyo kwa haraka harak Mungu unamzungumziaje.. siku unakutana naye anaweza akawa na umbo gani? Ama ni invisible maana siku ya mwisho wanasema yeye atatoa hukumu Sasa sijui atakua kwenye umbo gani.. coz wakristo wanasema anafanana na mwanadamu... Hapo waislam mnasemaje?
Hahaha this is a billion dollar [emoji765] question.
Ukitaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu kwa namna unavyotaka wewe utaishia kutoamini. Lazima uwe open minded.
Kila uthibitisho una njia zake. Ukiambiwa uthibitishe kwamba chakula flani kina starch lazima utatumia iodine soln. Na utaona matokeo yanayothibitisha kwamba starch ipo ndani ya hicho chakula. Ukitumia soln nyingine tofauti na iodine, hutaona starch na utabakia kuamini siku zote kwamba chakula hakina starch.
Hakuna contradiction yoyote khs uwepo wa Mungu, the only contradiction is in human mind jinsi imbavyo inapokea taarifa za uwepo wa Mungu.
The problem of evil doesn't disprove God's existence rather it affirms the Existence of Good (if we see evil, then there must be good) and definitely the source of that goodness, which I believe is God.
Unaelewa kwamba ukiandika kwa kutumia alphabet umetumia logic ya alphabet?Rejea swali langu la Imani huko juu.
Pili,logic kwangu mimi ni upuuzi sababu kuna mambo kadha wa kadha katika kuhoji huyakuti wala hayazingatiwi.
Nilikuuliza swali lingine,hili nalo hukulijibu pia,ila hapa nakukumbusha pia,nilikuuliza Je unayaju madhaifu ya elimu ya mantiki (Logic).
Unaelewa kwamba ukiandika kwa kutumia alphabet umetumia logic ya alphabet?
Na kama logic ni upuuzi, chochote unachoandika kwa alphabet ni upuuzi?
Umeandika kwa alphabet.Nasubiri majibu ya maswali yangu bro.
Umeandika kwa alphabet.
Umetumia logic. Ya alphabet.
Umesema logic ni upuuzi.
Umeandika kwa kutumia upuuzi.
Unakubali?
Unajua ukiandika "sikubali" ushatumia logic tayari? Hiyo ni logical proposition ya negation.SIKUBALI ....!
Proof??
Who is Allah? When did he/she came to be? Before your Allah? Did life exist before??I do not care who is convinced and who is not. Allah told His Messenger that his duty was to convey. To convince, to guide the heart is in the hands of Allah. If this was the case even in the case of the Messenger of Allah (PBUH)- how much more so in the case of me.
If Allah willed, all people would be Muslims. Allah guides whom He wills. If Allah wills, He will guide you. It is not up to me. All I can do is convey a message. Whether you are guided is up to Allah.
Unajua ukiandika "sikubali" ushatumia logic tayari? Hiyo ni logical proposition ya negation.
Unaelewa hilo?
I do not care who is convinced and who is not. Allah told His Messenger that his duty was to convey. To convince, to guide the heart is in the hands of Allah. If this was the case even in the case of the Messenger of Allah (PBUH)- how much more so in the case of me.
If Allah willed, all people would be Muslims. Allah guides whom He wills. If Allah wills, He will guide you. It is not up to me. All I can do is convey a message. Whether you are guided is up to Allah.
Bado unatumia logic wakati unaiponda logic.Sikubali. Nakudai bro !
Who is Allah? When did he/she came to be? Before your Allah? Did life exist before??
Bado unatumia logic wakati unaiponda logic.
Nataka uandike bila kutumia logic kwa sababu umesema logic ni upuuzi.
Bado unatumia logic wakati unaiponda logic.
Nataka uandike bila kutumia logic kwa sababu umesema logic ni upuuzi.
Kwanii iwe tatizo ni la msomaji na si kinachosomwa?Nilikunukulia kauli ya mwanazuoni wetu akiongelea juu yule aonae aya za Qur'an zinajipinga au Hadithi,akasema ukiona hilo kwa mtu huyo kwanza anatakiwa kuinutuhumu akili na elimu yake kwa kushindwa kuzidiriki aya hizo au hadithi hizo,na hili limedhihiri kwa kubwa wenu baki mpaka nyinyi vifaranga mnaliendeleza kosa hili.
Kwanii iwe tatizo ni la msomaji na si kinachosomwa?
Ni wakati gani kinachosomwa kinakuwa na mkosa na wakati gani msomaji ndiye anakuwa na makosa?