God existed before time and He created time

God existed before time and He created time

Unajuaje ulilouliza ni swali bila kutumia logic?

Sababu maswali yalikuwepo kabla logic kuwepo,logic walikuja nayo kina Aristosto.

Je ulishawahi kujiuliza kwanini ilikuwepo logic haliyakuwa watu walikuwepo na uhojaji ulikuwepo pia ?
 
Kwa iyo wewe una amini kuwa Mungu ayupo?

Au unajua kuwa hayupo?
Hahaha this is a billion dollar [emoji765] question.

Ukitaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu kwa namna unavyotaka wewe utaishia kutoamini. Lazima uwe open minded.

Kila uthibitisho una njia zake. Ukiambiwa uthibitishe kwamba chakula flani kina starch lazima utatumia iodine soln. Na utaona matokeo yanayothibitisha kwamba starch ipo ndani ya hicho chakula. Ukitumia soln nyingine tofauti na iodine, hutaona starch na utabakia kuamini siku zote kwamba chakula hakina starch.

Hakuna contradiction yoyote khs uwepo wa Mungu, the only contradiction is in human mind jinsi imbavyo inapokea taarifa za uwepo wa Mungu.

The problem of evil doesn't disprove God's existence rather it affirms the Existence of Good (if we see evil, then there must be good) and definitely the source of that goodness, which I believe is God.
 
Kwahiyo kwa haraka harak Mungu unamzungumziaje.. siku unakutana naye anaweza akawa na umbo gani? Ama ni invisible maana siku ya mwisho wanasema yeye atatoa hukumu Sasa sijui atakua kwenye umbo gani.. coz wakristo wanasema anafanana na mwanadamu... Hapo waislam mnasemaje?
Hatakuwa tofauti na chochote ulichokiona na ulichokisikia katika viumbe vyake
 
Hahaha this is a billion dollar [emoji765] question.

Ukitaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu kwa namna unavyotaka wewe utaishia kutoamini. Lazima uwe open minded.

Kila uthibitisho una njia zake. Ukiambiwa uthibitishe kwamba chakula flani kina starch lazima utatumia iodine soln. Na utaona matokeo yanayothibitisha kwamba starch ipo ndani ya hicho chakula. Ukitumia soln nyingine tofauti na iodine, hutaona starch na utabakia kuamini siku zote kwamba chakula hakina starch.

Hakuna contradiction yoyote khs uwepo wa Mungu, the only contradiction is in human mind jinsi imbavyo inapokea taarifa za uwepo wa Mungu.

The problem of evil doesn't disprove God's existence rather it affirms the Existence of Good (if we see evil, then there must be good) and definitely the source of that goodness, which I believe is God.

Uko sahihi kabisa,sasa hawa hata mambo madogo kama haya yanawashinda,ndio sisi huwa tunawapa haki yao ya kuwa ni wagonjwa wa akili.
 
Rejea swali langu la Imani huko juu.

Pili,logic kwangu mimi ni upuuzi sababu kuna mambo kadha wa kadha katika kuhoji huyakuti wala hayazingatiwi.

Nilikuuliza swali lingine,hili nalo hukulijibu pia,ila hapa nakukumbusha pia,nilikuuliza Je unayaju madhaifu ya elimu ya mantiki (Logic).
Unaelewa kwamba ukiandika kwa kutumia alphabet umetumia logic ya alphabet?

Na kama logic ni upuuzi, chochote unachoandika kwa alphabet ni upuuzi?
 
Unaelewa kwamba ukiandika kwa kutumia alphabet umetumia logic ya alphabet?

Na kama logic ni upuuzi, chochote unachoandika kwa alphabet ni upuuzi?

Nasubiri majibu ya maswali yangu bro.
 
I do not care who is convinced and who is not. Allah told His Messenger that his duty was to convey. To convince, to guide the heart is in the hands of Allah. If this was the case even in the case of the Messenger of Allah (PBUH)- how much more so in the case of me.

If Allah willed, all people would be Muslims. Allah guides whom He wills. If Allah wills, He will guide you. It is not up to me. All I can do is convey a message. Whether you are guided is up to Allah.
 
Who is Allah? When did he/she came to be? Before your Allah? Did life exist before??
 
Sahihi kabisa ...!
 
Who is Allah? When did he/she came to be? Before your Allah? Did life exist before??

Hapa umeuliza maswali ya uongo. Sawa na kuuliza swali,je Mola anaweza kuumba kitu ambacho hawezi kukibeba ? Katika mizani ya kielimu hili ni swali la uongo.

Pili,Allah yupo hata kabla ya wakati/muda kuwepo.

Kwake yeye hakuna kabla yake wala baada yake.
 
Bado unatumia logic wakati unaiponda logic.

Nataka uandike bila kutumia logic kwa sababu umesema logic ni upuuzi.

Watu mkishindwa hoja mnaamua kupoteza muda.

Nilikuuliza swali unayajua mapungufu au je logic ina maoungufu ? Swali hili hujalijibu.

Kadhalika nilikuuliza swali,je imani inaweza kuwepo bila elimu ?

Nakujibu kwa mara nyingine tena. Maneno yalikuwepo kabla ya elimu ya mantiki. Elimu ya mantiki ni elimu mpya iliyowekewa misingi dhaifu katika kuutafuta ukweli.

"Ukipenda kujibiwa maswali yako,na wewe penda kujibu maswali ya wenzako."

Nasubiri majibu ya maswali yangu.....
 
Bado unatumia logic wakati unaiponda logic.

Nataka uandike bila kutumia logic kwa sababu umesema logic ni upuuzi.

Naona unataka turudi kule uliposhindwa kupajengea hoja masiku tele yaliyopita nyuma. Nitajie misingi miwili ya logic tu.
 
Nilikunukulia kauli ya mwanazuoni wetu akiongelea juu yule aonae aya za Qur'an zinajipinga au Hadithi,akasema ukiona hilo kwa mtu huyo kwanza anatakiwa kuinutuhumu akili na elimu yake kwa kushindwa kuzidiriki aya hizo au hadithi hizo,na hili limedhihiri kwa kubwa wenu baki mpaka nyinyi vifaranga mnaliendeleza kosa hili.
Kwanii iwe tatizo ni la msomaji na si kinachosomwa?

Ni wakati gani kinachosomwa kinakuwa na mkosa na wakati gani msomaji ndiye anakuwa na makosa?
 
Kwanii iwe tatizo ni la msomaji na si kinachosomwa?

Ni wakati gani kinachosomwa kinakuwa na mkosa na wakati gani msomaji ndiye anakuwa na makosa?

Hapa kuna vitu viwili na katika kimoja chake kina vitu viwili.

Vitu viwili cha kwanza ni ujumla na vitu viwili cha pili ni umaalumu/hasa.

Hili ulilo uliza ni swali moja.

Naanzia hapa.

Kinachosomwa kina kuwa na makosa katika umbile lake/umaalumu wake/hasa yake kwa yenyewe. Hapa inaingia elimu ya mantiki (logic),Falsafa na elimu nyingine mfano wake. Hizi elimu kwa zenyewe zina makosa na bali hazifai hasa mtu kuzisoma kutokana ba misingi yake kwazo zimejengwa, elimu hizi zina mnyima mja tafakuri nje ya milango yake ya fahamu.

Tatizo linakuja kwa msomaji kwa kukiuka adabu na misingi ya kile anachokisoma. Husemwa "Ukinyimwa misingi basi umenyimwa sehemu kubwa ya fani unayoisoma". Na wakafika mbali wanazuoni wengine wakasema "Ukinyimwa misingi ya elimu fulani ni sawa na kuharamishiwa elimu hiyo". Yaani hutafaidika na elimu husika.

Hili la misingi tunaliona kwa kina Kiranga na mfano wake. Una mpa hoja kwa kile alichokiegemea kisha ukimwambia atoe hitimisho la kimantiki kwa elimu hiyo asiyojua misingi yake na mipaka yake anashindwa. Sasa swali huwa linakuja ni kipi kinachomfanya ajifarague kwayo hali ya kuwa misingi ya elimu hiyo haijui ?
 
Back
Top Bottom