God existed before time and He created time

Nilijua tu hapa lazima uangukie pua,sababu elimu hii huko kwenu hamna. Ndio maana niliacha kuisoma elimu ya mantiki (logic) kwa kushindwa mambo madogo kama haya na kutumia akili ndogo kama hii.

Ukiwa mfuasi wa logic lazima ukubali kuwa mvivu wa kufikiria.

Huo mfano wa mkoa hauingii katika kauli yangu hiyo,huo mfano ni wako wewe kwa kudandia maelezo usiyo yaelewa.

Nakupa muda tena wa kufikiria hicho nilichokwambia. Na kama ukituliza akili na ukaamua kujifunza lazima utaona ajabu ya elimu ya uhakiki wa habari.

Nipo .....
Unaelewa kwamba ukishaandika kwa alphabet tayari umeshatumia logic?
 
Iweje mie ninayebisha ndio niprove na si wewe? Nilitegemea ungesema naweza kuprove kama ukibisha.

Nasema contradiction haiondoi uwepo wa Mungu kwa sababu wewe badala ya kusema kuna contradiction kwenye suala la Mungu mwenye upendo,ujuzi na uwezo wote kuwa ndiye kuumba huu ulimwengu ila wewe unatumia hiyo contradiction kusema hakuna Mungu,hivyo ni sawa na kumuondoa Mungu kwa hiyo contradiction.
Kwa hiyo unasema kwamba dhana ya Mungu kuwepo inaweza kuwa na contradiction halafu Mungu akawepo?
 
Mungu anaweza kuwa na upendo wote halafu akaruhusu uovu uwepo wakati anaweza kuuzuia?

Bro sababu nipo hapa kwa ajili ya kukusaidia. Ila kaa ukijua una deni toka kwangu. Kuna maswali hujajibi mpaka muda huu.

Halafu je ushawahi kujiuliza hayo maovu huwa yanatokeaje ? Je yaantokea bila sababu au yanakuwaje ?

Kwa kauli yako hiyo kwanza hujaonyesha wapi kuna mgongano au utata au kujipinga,kwanza hujafikiri jambo hilo kwa undani zaidi.

Kwanza ulitakiwa ujiulize,matendo yako wewe yanafanywa vipi,je kwa hiari au kwackulazimishwa ?

Pili,je vipi ukifikira kinyume na hivyo unavyofikiri ?

Tatu,hili swali sidhani kama utalijibu japokuwa sioni yaliyofichikana kwako,leo naomba unielezee unaposema Mola ana upendo wote huwa una maanisha nini au je hao wanaosema hivyo ushawahi kuwauliza wana maanisha nini ?

Nne,mkiwa mnafikiri msiwe mnaruka vipengele katika kufikiri.
Nipo ....
 
Unaelewa kwamba ukishaandika kwa alphabet tayari umeshatumia logic?

Huu utoto nilishaumaliza kitambo. Leo nataka nikate mzizi wa fitina kuhusu logic.

Je una kubali kwamba logic / Elimu ya mantiki ina madhaifu tele ?
 
The guy rambles, and does not answer satisfactory why God allowed evil to exist in the first place.

Did God allow evil because he wanted to stop it and couldn't? If yes, then he cant be the all powerful.

Did God allow evil because he could stop it but chose not to? If yes, then he can't be the all loving.

You can't have an all powerful and all loving God who allows evil when he can stop it.

That is a contradiction.

Such a God does not exist.

He is a figment of the human imagination.
 
Kwa hiyo unasema kwamba dhana ya Mungu kuwepo inaweza kuwa na contradiction halafu Mungu akawepo?
Kwanza tambua hapa hatujadili dhana ya kuwepo Mungu bali tujadili dhana ya Mungu kuwa ndiye kaumba huu ulimwengu.
 
Bro sababu nipo hapa kwa ajili ya kukusaidia. Ila kaa ukijua una deni toka kwangu. Kuna maswali hujajibi mpaka muda huu.

Halafu je ushawahi kujiuliza hayo maovu huwa yanatokeaje ? Je yaantokea bila sababu au yanakuwaje ?

Kwa kauli yako hiyo kwanza hujaonyesha wapi kuna mgongano au utata au kujipinga,kwanza hujafikiri jambo hilo kwa undani zaidi.

Kwanza ulitakiwa ujiulize,matendo yako wewe yanafanywa vipi,je kwa hiari au kwackulazimishwa ?

Pili,je vipi ukifikira kinyume na hivyo unavyofikiri ?

Tatu,hili swali sidhani kama utalijibu japokuwa sioni yaliyofichikana kwako,leo naomba unielezee unaposema Mola ana upendo wote huwa una maanisha nini au je hao wanaosema hivyo ushawahi kuwauliza wana maanisha nini ?

Nne,mkiwa mnafikiri msiwe mnaruka vipengele katika kufikiri.
Nipo ....
Hujajibu swali hili.

Mungu anaweza kuwa na upendo wote halafu akaruhusu uovu uwepo wakati anaweza kuuzuia?
 
Hujajibu swali hili.

Mungu anaweza kuwa na upendo wote halafu akaruhusu uovu uwepo wakati anaweza kuuzuia?

Kaka mimi siko kama wewe,suali nimekujibu kwa swali mzee. Kama huoni jibu muulize unaemuamini kama sijakujibu swali.

Maswali yangu ya post #205 na 206 hujayajibu bro.
 
Kwanza tambua hapa hatujadili dhana ya kuwepo Mungu bali tujadili dhana ya Mungu kuwa ndiye kaumba huu ulimwengu.
Inawezekana akawepo Mungu aliyeuumba ulimwengu huu halafu Mungu akawa hayupo?
 
Kaka mimi siko kama wewe,suali nimekujibu kwa swali mzee. Kama huoni jibu muulize unaemuamini kama sijakujibu swali.

Maswali yangu ya post #205 na 206 hujayajibu bro.
Huwezi kujibu hilo swali? Umejibu kwa swali wapi?

Mungu anaweza kuwa na upendo wote halafu akaruhusu uovu uwepo wakati anaweza kuuzuia?
 
Huwezi kujibu hilo swali? Umejibu kwa swali wapi?

Mungu anaweza kuwa na upendo wote halafu akaruhusu uovu uwepo wakati anaweza kuuzuia?

Nimekujibu,je wewe haya unayoyafanya huwa unalazimishwa au unafanya kwa hiari ?

Je ulishawahi kufikiri kinyume na unavyofikiri hivi sasa ?

Hayo ndio majibu yangu tena timilifu. Usiwe mvivu wa kufikiri kama wakubwa zako mzee.

Majibi yangu nayasubiri kaka mkubwa....
 
Toa mfano mahususi, ukisema tu "haya unayoyafanya huwa unalazimishwa au unafanya kwa hiari?" unaonesha uzembe wa fikra na uvivu wa kujieleza.

Nilishawahi kufikiri kinyume na ninavyofikiri sasa, nishawahi kuamini Mungu yupo, na hilo tu linaonesha Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, angetupa uelewa sahihi tangu mwanzo.Na tusingeweza kupotoka. Tungekuwa hatuna haja ya kubadili mawazo. Ukweli kwamba kuna mambo hatuna uelewa sahihi nayo mwanzo mpaka baadaye unaonesha Mungu huyo hayupo
 
Naona unakuja ninapo pataka. Bro usitake kufanya jiwe liwe keki au liwe ugali,mambo unayoyafanya ni mengi sana mzee,wewe umiza akili na umepewa akili kwa kazi hiyo na mfano wake.

Bro,hapa ndipo nilipokuwa napataka mimi,hivi ulipokuwa una muamini Mola kabla ya kuja huku ulipo sasa ulitumia vigezo kimuamini yeye ?

Je unafikiri imani bila elimu inawezekana ?

Umekimbia maswalo yangu mengi,ila haya mawili sitegemei kama utayakimbia sababu ni marahisi mno.

Hili nakupa ziada mzee,ili ujifunze namna ya kufikiro vyema.

Hivi ushawahi kujutia leo kujua kusoma na kuandika ?
 
Jamaa unaandika pumba tu ili kusogeza page za thread!!
 
Jamaa alileta hesabu ya ku prove 1=2.

Anataka ku dismiss number theory na logic (huku hajui kwamba hata kutumia alphabet tu ni kutumia logic)

Kajishaua hapa, kauleta muhesabu wake, mu algebra una mi equation.

Ukiuangalia kwa macho juu juu unaweza kumkubalia.

Kumbe kakutana na kisiki, muhesabu nilishaufanya nikiwa form one.

Nikamwambia muhesabu wako umefanya kosa lisiloruhusiwa katika hesabu, umefanya kosa la "division by zero".

Ndiyo maana unapata jibu la 1=2.

Ilibidi mwenyewe akubali kataka kutulisha matango pori.

Yani hiki kijamaa ni kijitu cha ajabu ajabu saana tu.

Kinaikandya logic wakati kinaitumia logic kuikandya logic.

Kinaleta proofs za division by zero kuonesha 1=2.

Bahati nzuri kuna watu ambao alipo yeye leo tulishapita miaka 28 iliyopita! Hiyo hesabu niliifanya 1990 form one. Nikaona kosa la division by zero.

Yeye ndo anakuja kuileta mwaka huu!

Ukiwa mtu wa kupelekwa pelekwa kirahisi huyu anaweza kukulisha matango pori kirahisi rahisi tu.
 
Inawezekana akawepo Mungu aliyeuumba ulimwengu huu halafu Mungu akawa hayupo?
Hoja yako ni kwamba kuna contradictions kwenye suala la Mungu kuumba huu ulimwengu,huu ulimwengu upo wote tunauona haihitaji mtu kuambiwa kuwa upo ila tunaambiwa chanzo cha huu ulimwengu ni kuwa umeumbwa na Mungu,hapo ndipo ambapo wewe unasema hiyo ni contradictions kwa sababu aina ya huu ulimwengu unamcontradict huyo Mungu.

Sasa hapo suala kutokuwepo Mungu linapatikana vp?
 
Jamaa alileta hesabu ya ku prove 1=2.

Anataka ku dismiss number theory na logic (huku hajui kwamba hata kutumia alphabet tu ni kutumia logic)

Kajishaua hapa, kauleta muhesabu wake, mu algebra una mi equation.

Ukiuangalia kwa macho juu juu unaweza kumkubalia.

Kumbe kakutana na kisiki, muhesabu nilishaufanya nikiwa form one.

Nikamwambia muhesabu wako umefanya kosa lisiloruhusiwa katika hesabu, umefanya kosa la "division by zero".

Ndiyo maana unapata jibu la 1=2.

Ilibidi mwenyewe akubali kataka kutulisha matango pori.

Yani hiki kijamaa ni kijitu cha ajabu ajabu saana tu.

Kinaikandya logic wakati kinaitumia logic kuikandya logic.

Kinaleta proofs za division by zero kuonesha 1=2.

Bahati nzuri kuna watu ambao alipo yeye leo tulishapita miaka 28 iliyopita! Hiyo hesabu niliifanya 1990 form one. Nikaona kosa la division by zero.

Yeye ndo anakuja kuileta mwaka huu!

Ukiwa mtu wa kupelekwa pelekwa kirahisi huyu anaweza kukulisha matango pori kirahisi rahisi tu.

Nacheka sana,bro unajua ya kuwa mamno ambayo mimi nafanya kimijadala na kielimu wewe huwezi kufanya ?

Hivi wewe unaweza kukiri kukosea hadharani kwamba kweli umekosea ? Hili si la msingi nimekupa tu kama chachu mzee. Kwangu mimi hilo limeshapita na wala halibadilishi chochote katika mimi na hoja zangu.

Najua nakudai maswali yangu kadhaa,nasubiri majibu mzee. Nyinyi huwa nawaambia laiti kama mngekuwa mnajibu maswali tunayowaukiza humj msingesalia kwa lolote,sababu hoja hamna,misingi ya kumithilisha mambo ndio hamjiwezi kabisa.

Hujajibu maswali yangu ya post # 205 na 206, kadhalika nilikuuliza. Je imani bila elimu ina weza kuwa imani na kusimama ? Swali hili hujajibu mzee.

Sasa kama umeamua kupoteza muda kwa jambo ambalo nilikiri kukosea,hapa unaleta utoto mzee.

Kukiri kukosea ni ushujaa na ni katika adabu za kielimu. Au unataka suala la kukosea kwangu liwe mada nini bro ? Iweke tu iwe mada kisha tuijadili kielimu,naimani utafaidika. Humu bro hatushindani wala hatutafuti ukubwa kwahiyo kukiri kukosea kwa jambo nililokosea ndio kumenifanya mimi Zurri kuwa hapa na kujifunza mengi katika elimu miongoni mwa yale nisiyoyajua.

Nipo ....
 
Back
Top Bottom