Jamaa unaandika pumba tu ili kusogeza page za thread!!
Jamaa alileta hesabu ya ku prove 1=2.
Anataka ku dismiss number theory na logic (huku hajui kwamba hata kutumia alphabet tu ni kutumia logic)
Kajishaua hapa, kauleta muhesabu wake, mu algebra una mi equation.
Ukiuangalia kwa macho juu juu unaweza kumkubalia.
Kumbe kakutana na kisiki, muhesabu nilishaufanya nikiwa form one.
Nikamwambia muhesabu wako umefanya kosa lisiloruhusiwa katika hesabu, umefanya kosa la "division by zero".
Ndiyo maana unapata jibu la 1=2.
Ilibidi mwenyewe akubali kataka kutulisha matango pori.
Yani hiki kijamaa ni kijitu cha ajabu ajabu saana tu.
Kinaikandya logic wakati kinaitumia logic kuikandya logic.
Kinaleta proofs za division by zero kuonesha 1=2.
Bahati nzuri kuna watu ambao alipo yeye leo tulishapita miaka 28 iliyopita! Hiyo hesabu niliifanya 1990 form one. Nikaona kosa la division by zero.
Yeye ndo anakuja kuileta mwaka huu!
Ukiwa mtu wa kupelekwa pelekwa kirahisi huyu anaweza kukulisha matango pori kirahisi rahisi tu.