Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Ndiyo nimeuliza ni kipi kinafanya hiyo hadithi ya kale iendelee kusimuliwa hadi zama hizi? Maana hiyo hadithi imetapakaa dunia nzima na wenye kuiamini hiyo hadithi ni wengi kuliko wanayopinga hiyo hadithi.Hizo ni hadithi kama tamthilia ya kudadika
Ndio utakuja kuona mungu wapo wengi na kila mtu anamuelezea anavyoona mazingira yake
Lakini kusema allah au yehova ndio mungu na wengine sio mungu hilo jambo halipo
Unafikiri kwanini hiyo hadithi bado inaendelea kutamba tu na haijabaki kuwa hadithi tu ya kale ambayo haina mvuto zama hizi?