God existed before time and He created time

Kwahiyo na Creator yupo mmoja au creator wa waislamu ni tofauti na wakristo na wa wakristo tofauti na wasio na creator wako wewe?
Kama unaijua biblia na quran vizuri nitakwambia tatizo lao, kuna never resolve consistency/contradictions ambazo zinafanya vile vitabu viwe vichekesho, kwa kubase tu kwenye maandiko yao inatosha kuona kuwa hiyo miungu yao ni uzushi.

Unajua ingekuwa rahisi kuelezea miungu yao kama wasingeweka kwenye maandishi, maandishi yao ni vituko vitupu (kwa mtu anayevichambua kwa uhuru wa kifikra)
 
Kwahiyo na Creator yupo mmoja au creator wa waislamu ni tofauti na wakristo na wa wakristo tofauti na wasio na creator wako wewe?
Free thinkers tunamtofautisha creator na mungu/miungu baada ya kuangalia sifa zinazoainishwa kwenye vitabu vyao yehova, allah, zeus, horus, osiris, mithra hawawezi kuwa kitu kimoja sababu wanaelezewa kwa sifa tofauti kabisa, there ndipo concept ya creator inapoingia badala ya god because there are hundred or even thousands of gods
 
Haujajibu nilichouliza,nimeuliza kuhusu creator?
 
Kwahiyo unaona sifa za Creator zinapingana na sifa za Mungu? Au jinsi Mungu anavyoelezewa ni tofauti na alivyo creator?
 
Tatizo sio kuamini bali ni maelezo ya hicho unachokiamini,sasa wewe unaposhindwa kujielewa hata wewe mwenyewe ni pale unapoona shida mtu kusema kaongea na Mungu ila huna shida mtu kuamini tu Mungu.

Huyo Mungu tusingemjua sifa zake bila kuelezwa na ndiyo tukaamini,sasa wewe hauoni shida mtu kukubali hayo maelezo yenye kumuelezea huyo Mungu na wakaamini huyo Mungu ila unakuja kuona shida pale unapoambiwa watu hao hao waliyomuelezea Mungu kuwa wameongea na Mungu!

Yani ni sawa mtu akwambia anaamini rais wa marekani ni mweusi wakati wewe unajua sio kweli ila ukamuacha tu kwa sababu ndio anavyoamini,halafu huyo mtu aje kusema ameongea na huyo rais mweusi wa marekani ndiyo wewe unakuja kudai uthibitishiwe kama kweli ameongea nae.
 
Kwahiyo unaona sifa za Creator zinapingana na sifa za Mungu? Au jinsi Mungu anavyoelezewa ni tofauti na alivyo creator?
Mzee baba naona haupo kuelewa, sina mifano ya kukupa, kwanza hujui chochote kuhusu biblia wala quran
it is just a waste of time
 

Unajaribu kusema kuwa niache ujinga wa wazi utamalaki bila kuukosoa kwa facts, kama huwezi kuona uongo na ujinga uliomo kwenye quran na biblia basi unahitaji brain surgery, mzee baba naona haupo kuelewa
sina mifano ya kukupa.

Kwanza hujui chochote kuhusu biblia wala quran, it is just a waste of time, i think you should stop trying debate with me sababu nakuona mweupe kwenye ishu za theology, all you do is trying to be knowledgeable and relevant ising the knowlege i am dropping, so please do not quote me
 
mzee baba naona haupo kuelewa
sina mifano ya kukupa
kwanza hujui chochote kuhusu biblia wala quran
it is just a waste of time
Wewe unadhani kuwa na Qur'an na kujisomea mwenyewe ndani kujui Qur'an? Na ndiyo maana kuna siku umekuja kusema Qur'an inasema jua huwa linazama kwenye matope,nilipoanza kukuhoji ukaniambie niwaulize waislamu wakati wewe mwenyewe unajiita msomi wa Qur'an na Biblia.
 
Watu kama nyie wa kukariri hamuwezi kunielewa,mkipimwa uelewa wenu wa misimamo mliyonayo lazima muone shida maana mmejilemaza kushambulia wengine na si nyie kuhojiwa.

Muda wote hapa nilikuwa nakufafanulia tu uliyoyaeleza mwenyewe ila imeshindwa kuyaelewa,ila ajabu kila ukija unarudia maelezo yaleyale na kuishia kusema sikuelewi kumbe wewe ndio hauelewi uliyoyaandika.
 

Hujui quran hujui biblia, hueleweki kama ni muislam au mkristo, mimi nazikosoa biblia na quran, kama hauwezi kudebate na mimi kwenye hivyo vitabu viwili kakojoe ukalale huna hadhi ya kudebate na mimi usitake relevance kwenye hii forum kupitia mimi, tafuta kazi ya kufanya tusipotezeane mda
 
hujui quran hujui biblia
hueleweki kama ni muislam au mkristo
mimi nazikosoa biblia na quran,kama hauwezi kudebate na mimi kwenye hivyo vitabu viwili kakojoe ukalale huna hadhi ya kudebate na mimi
usitake relevance kwenye hii forum kupitia mimi
tafuta kazi ya kufanya tusipotezeane mda
 
Wewe mweupe tu kichwani nitadebate nini na wewe wakati unachokieleza tu hukielewi,muda wote hapa nakufafanulia ulichokieleza mwenyewe.

Et huna tatizo na mtu kuamini Allah wala Yehova ila vitabu vyenye kuwaelezea Yehova na Allah ndio unavipinga! halafu mtu kama wewe et unataka debate ya quran na biblia.
 
Mtu ambaye hata kuelewa tu mzito halafu unasema unakosoa Qur'an na Biblia!

Unakuja kutuambia Qur'an inasema jua huwa linazama kwenye matope,wewe ndio msomi wa Qur'an ambaye unaweza kuikosoa Qur'an?
 
kama unaamini sio spirit it's ok too sababu hata mimi sina uhakika,it is just a belief
Huna hata sababu ya kueleza kwanini unaamini hivyo na si vinginevyo,et sina hakika naamini tu.

Hiyo sio imani bali hisia.
 
Habari zenu ndugu zangu, hongereni kwa mjadala moto, ngependa kuwapatia habari njema ambayo inahusiana na mjadala huu kwanza nianze kwa kusema hakuna swali gumu lisilokua na jibu narudia tena HAKUNA SWALI GUMU LISILOKUA NA JIBU hata maswali kuhusu MUNGU naomba ieleweke hapa siongelei mungu wa bible au quran, naongelea MUNGU as "a source and coarse of everything" sehemu pekee ambapo utaweza kupata majibu ya maswali haya magumu ni hapa kwenye kipeperushi hiki ambacho nakwenda kukiattach hapa.

Karibuni Sana The Path society ambapo utafundishwa MEDITATION ambayo itakuwezesha kupata majibu ya maswali magumu kuhusu MUNGU(GOD) na MAUMBILE(CREATION).
 

Attachments


Ignored
 
Mtu ambaye hata kuelewa tu mzito halafu unasema unakosoa Qur'an na Biblia!

Unakuja kutuambia Qur'an inasema jua huwa linazama kwenye matope,wewe ndio msomi wa Qur'an ambaye unaweza kuikosoa Qur'an?

Maji ya matope,maji machafu, what's the difference? get the context and not minor errors (which also you have to prove wapi nilandika matope bdala ya maji ya matope) na mabogus siku zote wanakomaa na vijimakosa vidogo kuficha uzuzu wao kama una ufahamu wa chochote kuhusu biblia na quran weka debate uvitetee kama utaweza kuvuka hata comment tatu nimeshakupima huna uwezo wa haya mambo..mimi ni guru

18:86

Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."

and ignored
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…