nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Kama unaijua biblia na quran vizuri nitakwambia tatizo lao, kuna never resolve consistency/contradictions ambazo zinafanya vile vitabu viwe vichekesho, kwa kubase tu kwenye maandiko yao inatosha kuona kuwa hiyo miungu yao ni uzushi.Kwahiyo na Creator yupo mmoja au creator wa waislamu ni tofauti na wakristo na wa wakristo tofauti na wasio na creator wako wewe?
Unajua ingekuwa rahisi kuelezea miungu yao kama wasingeweka kwenye maandishi, maandishi yao ni vituko vitupu (kwa mtu anayevichambua kwa uhuru wa kifikra)