God existed before time and He created time

Mbona msimamo wangu upo wazi kuwa naamini Mungu na ndiyo maana muda wote napingana na wapinga Mungu humu,labda wewe ndio haujulikani msimamo upi.
Mungu gani maana kuna miungu wengi
allah, yehova, yesu, zeus au isis?
jibu tafadhali
 
Mada nzuri kulingana na mwandiko wa mtoa mada ila sasa wapinzani ( wachangiaji khaaaa ni nuksi) wanapinga nao kwa hoja nzito. Kiranga
 
Link Is God Merciful? Islam’s Response to Evil & Suffering
 
Hiyo hadithi ni dhaifu kwasababu zipo hadithi nyingi zinazoelezea hilo tukio , bila kutaja hayo matope yako

Usitake kukwepesha mada,ni maji ya matope.maji machafu4, mohamed kasapoti jua kuzama kwenye bwawa la maji ya mtope, hadith sunan abu dawud 3991
 
mungu gani maana kuna miungu wengi
allah,yehova,yesu,zeus au isis?
jibu tafadhali
We si umesema hayo ni majina tu,nishakumbia kuwa naamini Mungu sasa hayo majina ya Allah au Yehova ya nini tena? Au hayo majina yanatofautiana mengine yanakusudia kitu tofauti na Mungu?

Point ya msingi ni kwamba naamini Mungu na wewe huna tatizo mtu kuamini Mungu,sasa huko kwenye Allah na Yehova lazima utahusisha biblia na qur'an na wewe hukubaliani na hivyo vitabu.
 
sijawahi kusema nimeongea na muumba
huna jibu...kwaheri
Kama hujawahi kuongeanae wala kuonana nae umewezaje kufikiri kuwa kuna muumba na sio vinginevyo au kwanini isiwe kuna waumbaji kwa maana zaidi ya mmoja?
 
Kama hujawahi kuongeanae wala kuonana nae umewezaje kufikiri kuwa kuna muumba na sio vinginevyo au kwanini isiwe kuna waumbaji kwa maana zaidi ya mmoja?
sijakuuliza wewe
sema kwanza wewe ni mkristo,muislam?
 
mungu wako ashawahi kuongea na wewe?
 
Mi nachoamin mungu yupo

Ila wazungu waliwashika babu zetu pabaya
Mi nahitaji kujua Mungu yupo mmoja au wapo wengi? au kila jamii huwa ina request aina fulani ya nguvu kutoka kwa Mungu alafu huiita hiyo nguvu Mungu wao.Kwa nini China ,Japan,Roma,Jerusalem, Mecca,Bangkok na sehemu nyingine za Ulimwengu wanaabudu Mungu ila kila jamii na uwasilishi wake wa kipekee katika muonekano wa Mungu?
 
Mleta mada umenivuruga kidogo. Mimi naamini kuwa Mungu yupo, lakini unaposema alikuwepo kabla ya muda na yeye ndiye aliyetengeneza muda, ni vipi tukio la yeye kuwepo litokee nje ya muda. Hebu nifafanulie hapo.
Hahahah
 
Nishakwambia imani yangu naamini Mungu.

Mungu ni zaidi ya kuwa Creator,sasa kama hao watu wa makka walijiuliza labda kuhusu huu ulimwengu tu na kupata majibu ya kuwa kuna creator basi hauwezi kusema walikuwa wanaamini Allah kwa maana ya Mungu.

Swali:Na idea ya kumuabudu huyo Creator ilitoka wapi maana hao watu wa Makka walikuwa wakiabudu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…