Nakwambia hivi,
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Sio mnahangaika kuelezea na kufafanua kitu kisicho kuwepo kujidhihirisha chenyewe.
Mungu sio akili wala experience, so huwezi kutaka kumwelezea Mungu kwa kutumia akili. God is beyond mind, so the mind will never get to know God.Watu wanahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye, kwamba yupo.
They are just trying to defend a fictional character.
Everyone was born as an Atheist until when you were indoctrinated with faiths and religion.
Sasa wewe Utasemaje Mungu yupo kwa kutumia akili hiyohiyo?Mungu sio akili wala experience, so huwezi kutaka kumwelezea Mungu kwa kutumia akili. God is beyond mind, so the mind will never get to know God.
Nakwambia hivi,
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Sio mnahangaika kuelezea na kufafanua kitu kisicho kuwepo kujidhihirisha chenyewe.
Everyone was born as an Atheist until when you were indoctrinated with faiths and religion.
Nyundo nzito lakini hongera kwa ufafanuziHapo mwanzo mungu alikuwa neno, kila aliyetoa neno kutoka kwenye kinywa chake alijitahidi kuliheshimu bila kujali ni jema au baya.
Mtu noble alikuwa akizungumza neno ni lazima ahakikishe analipigania litimie maana likitendeka na bwana ametenda
Haya maisha ya mungu ni neno yaliendelea mpaka kilipotokea kizazi cha kitumwa kipindi cha utawala wa classic rome, hiki kizazi kilitambulika kama kizazi cha kristo, hiki kizazi kilikerwa na mungu ni neno ya kirumi kwani haikujali wema wala ubaya yenyewe ilijali zaidi heshima
Niwaambie ukweli maisha ya watawala yalikuwa very classic bila kujali jema au baya, mpaka ikafikia hatua ya watu wa chini kuona wivu juu ya maisha walioishi watawala wa kirumi,
Miaka ilivyozidi kusogea hawa watu wa chini waliendeleza chuki na wivu juu ya maisha ya watu wa juu, mf kubebwa na watumwa, kulala na wanawake sita ai saba, kushuhudia mauaji, mapigano ndani ya colleseum,
Kutokana na maadili ya watu wa juu kutokujali chochote kuhusu watu wa chini, wakristo waliamua kujitengenezea maadili yao ambayo yatakuwa na upande wa wema na ubaya, kwahiyo lugha ikapoteza maana kutoka kwenye mungu ni neno bila kujali ni neno jema au baya mpaka kufikia kwenye mungu ni mwema na ubaya ni ushetani
Katika maadili ya wakristo waliwagawanya watu wa juu katika makundi mawili, kuna wale waliobaki na mungu hawa waliwaita wema, lakini kwa wale waliotenda mabaya waliitwa shetani.
Kwahiyo maana ya awali ya mungu ni neno ikahama na kuwa mungu ni mwema, sasa ndugu zanguni tuulizane jambo moja ni mnyama gani hapa duniani ana asili ya kutenda wema tuu, ok tukubali hayupo, je unapolikataa neno na kuligawanya katika makundi mawili na ukachukua moja na kutaaa moja huoni unakuwa umeuwa maana
Mwanzo kama maandiko yeno yanavyodai hahahahahaha, kwamba mungu aliishi na shetani mbinguni. Ni kweli ndani ya neno kuna wema (mungu) na ubaya(shetani), kwahiyo kama kweli mungu ni neno na ndani ya neno kuna wema na ubaya ni sahihi kabisa kusema kuwa, hapo mwanzo neno aliishi kama wema na ubaya kabla ya neno kuchukizwa na ubaya uliopo ndani yake na kuamua kuufukuzia mbali akiuacha wema au mungu mpya, mungu mwenye maadili ya kitumwa, mungu mwanakondoo, kila anachokitafuta ni kutenda wema.
Je, wale watu wa kupenda asili hamuoni kuwa ndani yenu ametolewa yule mungu mbaya na kuachiwa huyu mungu mwema, je maana ya kusema mungu ni neno ina tija yoyote kama tuu utaamuwa kufikiria ubaya na uzuri uliopo kwenye neno. Ni kweli!!! tunapenda kufikiria kama vile tunaelewa hata maana ya kufikiria.
Mungu ni neno aliuawa kwa kutolewa ubavu wa ubaya akaachiwa ubavu wa wema, hili lote ndugu zanguni ni njama za kikristo katika kuua maadili ya juu yenye kubeba asili yetu na kutupandikiza utando wa buibui ambao kila ukienda, iwe mbele, nyuma au sasa inatachodai ni wema, ukiutafuta ubaya unakuletea maumivu na usingizi wa ghafla.
Asili ya chuki ni wivu ndugu zanguni sio ubaya kama mnavyofikiri, anayetengeneza chuki ni yule mwenye wivu usiokuwa na mafanikio.
Poor handwriting!
Unaleta videos za watu tu wakihangaika kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu.
Kila siku mmebakia kwenye hiyo hiyo argument, wakati debate imeisha move, na sisi wenzenu tukaendelea kuvumbua uchafu alionao Paedophile Mohammad na shetan wake allah, na malaya aisha
Ndio Yesu umemfanya kuwa mungu hapo?Kila siku mmebakia kwenye hiyo hiyo argument, wakati debate imeisha move, na sisi wenzenu tukaendelea kuvumbua uchafu alionao Paedophile Mohammad na shetan wake allah, na malaya aisha
Kwa i hivi wewe unayo akili?Unaleta videos za watu tu wakihangaika kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu.
Huleti na huna uthibitisho wowote ule wa uwepo wa huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo.
Akili ni nini?Kwa i hivi wewe unayo akili?
Akili ni nini?
Hapo mwanzo mungu alikuwa neno, kila aliyetoa neno kutoka kwenye kinywa chake alijitahidi kuliheshimu bila kujali ni jema au baya.
Mtu noble alikuwa akizungumza neno ni lazima ahakikishe analipigania litimie maana likitendeka na bwana ametenda
Haya maisha ya mungu ni neno yaliendelea mpaka kilipotokea kizazi cha kitumwa kipindi cha utawala wa classic rome, hiki kizazi kilitambulika kama kizazi cha kristo, hiki kizazi kilikerwa na mungu ni neno ya kirumi kwani haikujali wema wala ubaya yenyewe ilijali zaidi heshima
Niwaambie ukweli maisha ya watawala yalikuwa very classic bila kujali jema au baya, mpaka ikafikia hatua ya watu wa chini kuona wivu juu ya maisha walioishi watawala wa kirumi,
Miaka ilivyozidi kusogea hawa watu wa chini waliendeleza chuki na wivu juu ya maisha ya watu wa juu, mf kubebwa na watumwa, kulala na wanawake sita ai saba, kushuhudia mauaji, mapigano ndani ya colleseum,
Kutokana na maadili ya watu wa juu kutokujali chochote kuhusu watu wa chini, wakristo waliamua kujitengenezea maadili yao ambayo yatakuwa na upande wa wema na ubaya, kwahiyo lugha ikapoteza maana kutoka kwenye mungu ni neno bila kujali ni neno jema au baya mpaka kufikia kwenye mungu ni mwema na ubaya ni ushetani
Katika maadili ya wakristo waliwagawanya watu wa juu katika makundi mawili, kuna wale waliobaki na mungu hawa waliwaita wema, lakini kwa wale waliotenda mabaya waliitwa shetani.
Kwahiyo maana ya awali ya mungu ni neno ikahama na kuwa mungu ni mwema, sasa ndugu zanguni tuulizane jambo moja ni mnyama gani hapa duniani ana asili ya kutenda wema tuu, ok tukubali hayupo, je unapolikataa neno na kuligawanya katika makundi mawili na ukachukua moja na kutaaa moja huoni unakuwa umeuwa maana
Mwanzo kama maandiko yeno yanavyodai hahahahahaha, kwamba mungu aliishi na shetani mbinguni. Ni kweli ndani ya neno kuna wema (mungu) na ubaya(shetani), kwahiyo kama kweli mungu ni neno na ndani ya neno kuna wema na ubaya ni sahihi kabisa kusema kuwa, hapo mwanzo neno aliishi kama wema na ubaya kabla ya neno kuchukizwa na ubaya uliopo ndani yake na kuamua kuufukuzia mbali akiuacha wema au mungu mpya, mungu mwenye maadili ya kitumwa, mungu mwanakondoo, kila anachokitafuta ni kutenda wema.
Je, wale watu wa kupenda asili hamuoni kuwa ndani yenu ametolewa yule mungu mbaya na kuachiwa huyu mungu mwema, je maana ya kusema mungu ni neno ina tija yoyote kama tuu utaamuwa kufikiria ubaya na uzuri uliopo kwenye neno. Ni kweli!!! tunapenda kufikiria kama vile tunaelewa hata maana ya kufikiria.
Mungu ni neno aliuawa kwa kutolewa ubavu wa ubaya akaachiwa ubavu wa wema, hili lote ndugu zanguni ni njama za kikristo katika kuua maadili ya juu yenye kubeba asili yetu na kutupandikiza utando wa buibui ambao kila ukienda, iwe mbele, nyuma au sasa inatachodai ni wema, ukiutafuta ubaya unakuletea maumivu na usingizi wa ghafla.
Asili ya chuki ni wivu ndugu zanguni sio ubaya kama mnavyofikiri, anayetengeneza chuki ni yule mwenye wivu usiokuwa na mafanikio.
Poor handwriting!
Unaongea vitu ambavyo hata huvielewi.Akili ni akili wewe Itakuwa huna au vipi?
Wewe unasema nimeshindwa , wewe si ui define unashindwa kitu gani ? Na zaidi unasema wewe unavielewa si tuambie , wewe unayo hiyo akili?Unaongea vitu ambavyo hata huvielewi.
Unaweza kuthibitisha kwamba una hiyo Akili?
Maana kui define umeshindwa.
Aliyeleta mada za akili ni nani?Wewe unasema nimeshindwa , wewe si ui define unashindwa kitu gani ? Na zaidi unasema wewe unavielewa si tuambie , wewe unayo hiyo akili?
Mtafute.....Sasa Mungu ni nani? Au ni nini? Na yuko wapi?