God is good and evil

God is good and evil

Aliyeleta mada za akili ni nani?

Si wewe ulileta hoja ya akili.

Nikakuuliza Akili ni nini? Hujajibu unaruka ruka tu.
Unajifanya hujui kusoma? Wewe ndio umejibu hapo na inaonyesha kweli huna akili
 
Uliuliza akili ni nini nikakujibu ni ile ambayo huna nathibitisha kwamba huna akili
Sasa hapa hujatoa definition ya Akili nini?

Ume conclude moja kwa moja sina akili, Bila kudefine kueleza hiyo akili ni nini?

Nakuuliza tena,

Akili ni nini?
 
katika Classical Rome, dhana ya miungu ilikuwa tofauti sana na ile ya Kikristo. Miungu wa Kirumi, kama ilivyokuwa katika tamaduni nyingi za zamani, ilijumuisha vipengele vya wema na ubaya. Miungu hawa walikuwa na tabia za kibinadamu, wakionyesha hisia, makosa, na matendo ambayo yanaweza kuwa mema au mabaya.

Kwa mfano, miungu kama Jupiter walikuwa na uwezo wa kulinda na kuwapa watu baraka, lakini pia walikuwa na uwezo wa kuleta hasara na adhabu. Hivyo, katika tamaduni hizi, wema na ubaya vilikuwapo kama sehemu ya maisha ya kila siku, na watu walijifunza kuishi na hali hizi kama sehemu ya ulimwengu wao.

Hii inatofautiana na mtazamo wa Kikristo, ambapo Mungu anachukuliwa kuwa mwema na mtakatifu, bila makosa. Katika Ukristo, dhana ya ubaya inachukuliwa zaidi kama changamoto au dhambi ambayo inahitaji kuondolewa au kukabiliwa. Kwa hivyo, nadharia za Classical Rome zilikuwa na ukubwa wa uhalisia wa binadamu ambao ulijumuisha pande zote za wema na ubaya.

waungwana mmenielewa ninaposema mungu alikuwa na wema na ubaya?
I tried to read upon the history of language..............
Miungu yote hizo ndio characteristics zao
Tii uje kula mema
Kaidi ujekupambana na adhabu kali
 
Define kwanza, Akili ni nini?

Ukiweza kufanya hivyo ndio tutaendelea.

Maana habari za Akili ulizileta wewe mwenyewe.

Mbona unathibitisha kuwa huna akili ?? Nilifiri utathibitsha kuwa una akili
 
Mbona unathibitisha kuwa huna akili ?? Nilifiri utathibitsha kuwa una akili
Akili ni nini?

Hata kudefine hiyo akili unayo isema huwezi na umeshindwa.

Unaruka ruka tu kama chura.

Wewe ni Tabularasa.
 
Miungu yote hizo ndio characteristics zao
Tii uje kula mema
Kaidi ujekupambana na adhabu kali
Teach I unto men no longer to thrust their heads into the sand of cellestial beings, but to have a terrestrial head that giveth meaning to earth
 
wewe umeshindwa nini kuthibitisha , inaonyesha huna akili
Aliyeleta habari za Akili ni mimi au wewe?

Akili haipo katika uhalisia na huwezi kuthibitisha kwamba ipo.

Akili ni neno la kufikirika tu.

Kama unabisha, Thibitisha una akili.
 
Back
Top Bottom