Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Unajifanya hujui kusoma? Wewe ndio umejibu hapo na inaonyesha kweli huna akiliAliyeleta mada za akili ni nani?
Si wewe ulileta hoja ya akili.
Nikakuuliza Akili ni nini? Hujajibu unaruka ruka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifanya hujui kusoma? Wewe ndio umejibu hapo na inaonyesha kweli huna akiliAliyeleta mada za akili ni nani?
Si wewe ulileta hoja ya akili.
Nikakuuliza Akili ni nini? Hujajibu unaruka ruka tu.
Akili ni nini?Unajifanya hujui kusoma? Wewe ndio umejibu hapo na inaonyesha kweli huna akili
ni ile ambayo wewe hunaAkili ni nini?
Unathibitishaje sina na wewe unayo?ni ile ambayo wewe huna
Uliuliza akili ni nini nikakujibu ni ile ambayo huna nathibitisha kwamba huna akiliUnathibitishaje sina na wewe unayo?
Sasa hapa hujatoa definition ya Akili nini?Uliuliza akili ni nini nikakujibu ni ile ambayo huna nathibitisha kwamba huna akili
Ni ile ambayo hunayoSasa hapa hujatoa definition ya Akili nini?
Ume conclude moja kwa moja sina akili, Bila kudefine kueleza hiyo akili ni nini?
Nakuuliza tena,
Akili ni nini?
Hujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.Ni ile ambayo hunayo
Hivyo unavyojibu ndiyo inaonyesha huna akili kabisaHujibu ulicho ulizwa Unajibu usivyo ulizwa.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Hata wewe huna hiyo Akili na wala huwezi kuthibitisha uwepo wa hiyo akili.Hivyo unavyojibu ndiyo inaonyesha huna akili kabisa
Miungu yote hizo ndio characteristics zaokatika Classical Rome, dhana ya miungu ilikuwa tofauti sana na ile ya Kikristo. Miungu wa Kirumi, kama ilivyokuwa katika tamaduni nyingi za zamani, ilijumuisha vipengele vya wema na ubaya. Miungu hawa walikuwa na tabia za kibinadamu, wakionyesha hisia, makosa, na matendo ambayo yanaweza kuwa mema au mabaya.
Kwa mfano, miungu kama Jupiter walikuwa na uwezo wa kulinda na kuwapa watu baraka, lakini pia walikuwa na uwezo wa kuleta hasara na adhabu. Hivyo, katika tamaduni hizi, wema na ubaya vilikuwapo kama sehemu ya maisha ya kila siku, na watu walijifunza kuishi na hali hizi kama sehemu ya ulimwengu wao.
Hii inatofautiana na mtazamo wa Kikristo, ambapo Mungu anachukuliwa kuwa mwema na mtakatifu, bila makosa. Katika Ukristo, dhana ya ubaya inachukuliwa zaidi kama changamoto au dhambi ambayo inahitaji kuondolewa au kukabiliwa. Kwa hivyo, nadharia za Classical Rome zilikuwa na ukubwa wa uhalisia wa binadamu ambao ulijumuisha pande zote za wema na ubaya.
waungwana mmenielewa ninaposema mungu alikuwa na wema na ubaya?
I tried to read upon the history of language..............
Hata wewe huna hiyo Akili na wala huwezi kuthibitisha uwepo wa hiyo akili.
Define kwanza, Akili ni nini?wewe unaweza kuthibitisha kama una akili ??
Define kwanza, Akili ni nini?
Ukiweza kufanya hivyo ndio tutaendelea.
Maana habari za Akili ulizileta wewe mwenyewe.
Akili ni nini?Mbona unathibitisha kuwa huna akili ?? Nilifiri utathibitsha kuwa una akili
Teach I unto men no longer to thrust their heads into the sand of cellestial beings, but to have a terrestrial head that giveth meaning to earthMiungu yote hizo ndio characteristics zao
Tii uje kula mema
Kaidi ujekupambana na adhabu kali
Unazidi kutuonyesha kuwa huna akiliAkili ni nini?
Hata kudefine hiyo akili unayo isema huwezi na umeshindwa.
Unaruka ruka tu kama chura.
Wewe ni Tabularasa.
Hata wewe huna hiyo Akili ndio maana mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha uwepo wa hiyo akili.Unazidi kutuonyesha kuwa huna akili
wewe umeshindwa nini kuthibitisha , inaonyesha huna akiliHata wewe huna hiyo Akili ndio maana mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha uwepo wa hiyo akili.
Unaruka ruka tu.
Aliyeleta habari za Akili ni mimi au wewe?wewe umeshindwa nini kuthibitisha , inaonyesha huna akili