MPANGAPANGA
Member
- Sep 11, 2024
- 82
- 103
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, Lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.-, "Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, "
☝️
hiyo ni kauli yako angalia ktk post zako za hapo juu au unachoandika hukumbuki uliandika nini ?
☝️huyo ndio wewe sijui unajielewa?