God is good and evil

God is good and evil

, "Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, "
☝️
hiyo ni kauli yako angalia ktk post zako za hapo juu au unachoandika hukumbuki uliandika nini ?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, Lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.-
☝️huyo ndio wewe sijui unajielewa?
 
, "Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, "
☝️
hiyo ni kauli yako angalia ktk post zako za hapo juu au unachoandika hukumbuki uliandika nini ?
Ulielewa kilicho andikwa na kuzingatia muundo wa uandishi?

Au unakurupuka bila kusoma kwa kufuata muundo wa uandishi ulivyo.

Nilikwambia hivi, 👇

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.

Zingatia hilo neno "Kama" ndio inaleta muundo mzima wa maana iliyopo.

Sasa wewe huzingatii kilichoanzwa mwanzoni unachukua sentensi ya katikati ambayo haijitoshelezi na
ina ondoa maana nzima ya msingi wa hoja.
 
ipo kama pia ipo lazima ,
unaposema lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani,
unaposisitiza lazima iwepo sehemu nyingine ,hiyo lazima ina maanisha nini?
 
Ina maanisha kwamba kama kila kitu kilichopo kitakuwa na mwanzo wake, Hata huo mwanzo wa kila kitu una mwanzo wake.

Na kama si hivyo, Basi hakuna mwanzo wa binadamu na ulimwengu.
 
ndipo sisi Christian tunaamini kupitia nadharia zilizopo andikwa katika bible kwamba hapo mwanzo ilikuwepo neno nae neno ndio Mungu na Mungu ndio mwanzo na mwisho alikuwepo yupo na ataendelea kuwepo milele vitu vyote vilifanyika kutoka kwake na vyote vinavyoonekana na visivyo onekana ni Mali yake hata huu uhai tulio nao ni Mali yake ulitoka kwake na utarudi kwake.
 
Hukatazwi kuamini hivyo.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Na hiyo ni haki yako ya kikatiba kuamini chochote kile.

Ila ukianza kudai kwamba imani yako ina ukweli, lazima uthibitishe hilo.

Sasa unathibitisha vipi na tutahakikishaje kwamba hiyo imani yako ya Mungu ni ukweli?
 
Mimi nimekumbia wazi nimesadiki kutokana na kilichoandikwa kwenye bible sasa wewe leta udhibitisho kwamba Mungu sio mwanzo na sio wa milele dhibitisha kwamba hata huo uhai wako sio yeye anayeumiliki ,

dhibitisha anayemiliki uhai wako nani? hayo unayopinga umefananisha na ukweli upi?
 
Mimi siamini kwamba kuna Mungu.

Mimi nasema Mungu hayupo.

Madai ya kwamba Mungu yupo, yametoka kwenu ninyi waamini huyo Mungu.

Kwa hivyo, Anayepaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ni nyie. Sio mimi.

Mkishindwa kufanya hivyo ni kwamba madai yenu ya kwamba kuna Mungu, Ni madai ya UONGO.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, Hayupo.

Uhai wangu haumilikiwi na kitu chochote kile.
 
Biblia ni jibu tosha
Hata mwislamu atakwambia, Quran ni jibu tosha.

Mbudha atakwambia, Tripitaka ni jibu tosha.

Mhindu atakwambia, Vedas ni jibu tosha.

Mshinto atakwambia, Kojik ni jibu tosha.

MSikhism atakwambia, Guru Granth sahib ni jibu tosha.

Sasa tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi jibu la kila moja kwamba ni ukweli?

Maana kila mmoja ikiwemo wewe, utasimama kutetea kitabu chako cha dini yako na kukosoa vitabu vya wengine wa dini zingine.

Sasa Tutahakikisha vipi kwamba jibu lako la Biblia ni ukweli na ni jibu tosha?
 
Mimi siamini kwamba kuna Mungu.

Mimi nasema Mungu hayupo.

Madai ya kwamba Mungu yupo, yametoka kwenu ninyi waamini huyo Mungu.

Kwa hivyo, Anayepaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ni nyie. Sio mimi.

Mkishindwa kufanya hivyo ni kwamba madai yenu ya kwamba kuna Mungu, Ni madai ya UONGO.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, Hayupo.

Uhai wangu haumilikiwi na kitu chochote kile.
Daily nakuambia tofauti ya wanaomuamini mungu na wasio mwamini ni mtizamo tu.

Wanaomuamini mungu huamini mambo hutokea kutokana na mipango ya mungu bt atheist huamini mambo hutokea kwa sababu ya nature.

Wanamuamini mungu husema mungu hajaumbwa bt atheist wanaamin energy haijaumbwa.
 
Una elewa ni Mungu wa namna gani huwa ninampinga?
 
Sijui bt nilichojaribu kueleza ni utofauti wa mitizamo unavyoleta ligi zisoisha baina ya atheist na theist
Mimi nampinga Mungu anayedaiwa na watu wa dini pamoja na waamini Mungu wote(Theists) kwamba ni Mungu mkuu, muweza wa vyote, mkamilifu, mjuzi wa vyote,

Anayetaka kuaminiwa na kuabudiwa na pia ni Mungu mwenye upendo na huruma kwa viumbe wake.

Mimi ndio nakataa uwepo wa Mungu wa namna hii.
 
I don't know these days what to believe and how to believe.
Usichanganywe na ubishani Mungu yupo. Wengi wanaopinga imani Ni waumini wa kupandikizwa ili kuvunja nguvu ya imani yako. Ukiwafata unabaki peke yako atheist lkn wao watabaki na ibada yao ya mashetani. Shauri yako akili kumkichwa.
 
wema na ubaya vyote ni pande mbili za shilingi moja.
Kwasababu kama tukisema hapo Mwanzo hapakuwa na kitu ila Mungu alikuwepo.
Basi kila kitu tukijuacho na tusichokijua kimetokana na Mungu.
Hivyo wema na ubaya vyote chanzo chake ni kimoja (Mungu)

Lakini wema wa kitu au ubaya wa kitu ni mtazamo tu,kwasababu kuna wema unaweza kutokana na ubaya, na ubaya unaweza kutokana na wema.

Bila wema hakuna ubaya na bila ubaya hakuna wema. Maana huwezi kuujua ubaya bila kuujua wema ni nini.
Hivi vitu vinarise mutually.
Hivyo wema na ubaya ni kitu kimoja.

Kama ambavyo Huwezi kuwa na juu bila chini, kaskazini bila kusini, kulia bila kushoto, kulia bila kucheka, kupata bila kukosa, kushinda bila kushindwa, kufa bila kuzaliwa, nk. Nk.
Ndivyo ambavyo huwezi kuwa na wema bila ubaya.
 
Back
Top Bottom