MPANGAPANGA
Member
- Sep 11, 2024
- 82
- 103
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, Lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.-, "Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, "
☝️
hiyo ni kauli yako angalia ktk post zako za hapo juu au unachoandika hukumbuki uliandika nini ?
Ulielewa kilicho andikwa na kuzingatia muundo wa uandishi?, "Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu vyote, "
☝️
hiyo ni kauli yako angalia ktk post zako za hapo juu au unachoandika hukumbuki uliandika nini ?
ipo kama pia ipo lazima ,Ulielewa kilicho andikwa na kuzingatia muundo wa uandishi?
Au unakurupuka bila kusoma kwa kufuata muundo wa uandishi ulivyo.
Nilikwambia hivi, 👇
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Zingatia hilo neno "Kama" ndio inaleta muundo mzima wa maana iliyopo.
Sasa wewe huzingatii kilichoanzwa mwanzoni unachukua sentensi ya katikati ambayo haijitoshelezi na
ina ondoa maana nzima ya msingi wa hoja.
Ina maanisha kwamba kama kila kitu kilichopo kitakuwa na mwanzo wake, Hata huo mwanzo wa kila kitu una mwanzo wake.ipo kama pia ipo lazima ,
unaposema lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani,
unaposisitiza lazima iwepo sehemu nyingine ,hiyo lazima ina maanisha nini?
ndipo sisi Christian tunaamini kupitia nadharia zilizopo andikwa katika bible kwamba hapo mwanzo ilikuwepo neno nae neno ndio Mungu na Mungu ndio mwanzo na mwisho alikuwepo yupo na ataendelea kuwepo milele vitu vyote vilifanyika kutoka kwake na vyote vinavyoonekana na visivyo onekana ni Mali yake hata huu uhai tulio nao ni Mali yake ulitoka kwake na utarudi kwake.Ina maanisha kwamba kama kila kitu kilichopo kitakuwa na mwanzo wake, Hata huo mwanzo wa kila kitu una mwanzo wake.
Na kama si hivyo, Basi hakuna mwanzo wa binadamu na ulimwengu.
Hukatazwi kuamini hivyo.ndipo sisi Christian tunaamini kupitia nadharia zilizopo andikwa katika bible kwamba hapo mwanzo ilikuwepo neno nae neno ndio Mungu na Mungu ndio mwanzo na mwisho alikuwepo yupo na ataendelea kuwepo milele vitu vyote vilifanyika kutoka kwake na vyote vinavyoonekana na visivyo onekana ni Mali yake hata huu uhai tulio nao ni Mali yake ulitoka kwake na utarudi kwake.
Mimi nimekumbia wazi nimesadiki kutokana na kilichoandikwa kwenye bible sasa wewe leta udhibitisho kwamba Mungu sio mwanzo na sio wa milele dhibitisha kwamba hata huo uhai wako sio yeye anayeumiliki ,Hukatazwi kuamini hivyo.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Na hiyo ni haki yako ya kikatiba kuamini chochote kile.
Ila ukianza kudai kwamba imani yako ina ukweli, lazima uthibitishe hilo.
Sasa unathibitisha vipi na tutahakikishaje kwamba hiyo imani yako ya Mungu ni ukweli?
Mimi siamini kwamba kuna Mungu.Mimi nimekumbia wazi nimesadiki kutokana na kilichoandikwa kwenye bible sasa wewe leta udhibitisho kwamba Mungu sio mwanzo na sio wa milele dhibitisha kwamba hata huo uhai wako sio yeye anayeumiliki ,
dhibitisha anayemiliki uhai wako nani? hayo unayopinga umefananisha na ukweli upi?
Sikulazimishi uamini kuwa yupoThibitisha uwepo wa huyo Mungu kwanza.
Na wewe wala hukatazwi kuamini Mungu yupo, ila ukianza kudai kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli lazima uthibitishe hilo.Sikulazimishi uamini kuwa yupo.
Biblia ni jibu toshaNa wewe wala hukatazwi kuamini Mungu yupo, ila ukianza kudai kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli lazima uthibitishe hilo.
Hata mwislamu atakwambia, Quran ni jibu tosha.Biblia ni jibu tosha
Daily nakuambia tofauti ya wanaomuamini mungu na wasio mwamini ni mtizamo tu.Mimi siamini kwamba kuna Mungu.
Mimi nasema Mungu hayupo.
Madai ya kwamba Mungu yupo, yametoka kwenu ninyi waamini huyo Mungu.
Kwa hivyo, Anayepaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu ni nyie. Sio mimi.
Mkishindwa kufanya hivyo ni kwamba madai yenu ya kwamba kuna Mungu, Ni madai ya UONGO.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, Hayupo.
Uhai wangu haumilikiwi na kitu chochote kile.
Una elewa ni Mungu wa namna gani huwa ninampinga?Daily nakuambia tofauti ya wanaomuamini mungu na wasio mwamini ni mtizamo tu.
Wanaomuamini mungu huamini mambo hutokea kutokana na mipango ya mungu bt atheist huamini mambo hutokea kwa sababu ya nature.
Wanamuamini mungu husema mungu hajaumbwa bt atheist wanaamin energy haijaumbwa.
Sijui bt nilichojaribu kueleza ni utofauti wa mitizamo unavyoleta ligi zisoisha baina ya atheist na theistUna elewa ni Mungu wa namna gani huwa ninampinga?
Mimi nampinga Mungu anayedaiwa na watu wa dini pamoja na waamini Mungu wote(Theists) kwamba ni Mungu mkuu, muweza wa vyote, mkamilifu, mjuzi wa vyote,Sijui bt nilichojaribu kueleza ni utofauti wa mitizamo unavyoleta ligi zisoisha baina ya atheist na theist
Usichanganywe na ubishani Mungu yupo. Wengi wanaopinga imani Ni waumini wa kupandikizwa ili kuvunja nguvu ya imani yako. Ukiwafata unabaki peke yako atheist lkn wao watabaki na ibada yao ya mashetani. Shauri yako akili kumkichwa.I don't know these days what to believe and how to believe.