God Is Zero

God Is Zero

Halafu pia ona mfano wa kamtiririko;
10 haimo katika 9 kumi ni mpya ni kitu kipya
Lakini 9 imo katika 10, in fact kumi ni tisa na ziada fulani tu.
Kama ambavyo kumi inayo tisa, ndivyo hivyo hivyo tisa ni nane na ka ziada fulani tu.
8 ni mpya lakini inayo 7 na ka zaidi. Mambo ni vivyo hivyo kwa 6,5,4,3 hadi mbili zote zinao wa chini yake na nyongeza kiasi.
Sasaa tukija kwa moja inakuwa wazi kabisa ni ongezeko kiasi kutoka kwa sifuri[0]!
Kumbe sifuri ndio fundamental one thing ambayo ipo pooote na ni kama haipo popote [nothing]

Ni kama msanii mmoja alipata kunena kuwa; Sifuri ndo ya kwanza, moja ni ya pili. Cha ajabu ya pili inaanza na ya kwanza inasubiri - Songa
Mfano wa uzuri na umuhimu wa sifuri katika kuyafaidi maisha.
Ona bangi hizi
 
Back
Top Bottom