Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje.
Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
View attachment 3204402
Kama hajaelewa hili basi kuna shida sehemu kichwani mwako...Sasa yana msaada gani kwa Taifa?
Wenje ni kijitu chenye njaa sana sasa kimekuwa Dalali hatari sanaWakuu,
Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje.
Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
View attachment 3204402
Wenje kuacha kula pesa haramu ni msaada kwa TaifaSasa yana msaada gani kwa Taifa?
Jipya ni wewe kushinda ghetto kwa wenje kula pesa haramu?Lema huna jipya.
Ila amempa usiha mzuri mwana wa rais.Wakuu,
Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje.
Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
View attachment 3204402
Ila hiki chama naona kina waropokaji sanaWakuu,
Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje.
Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
View attachment 3204402
Upuuzi ni wewe kuvuta bangi ghetto kwa wenje kisha kumtuma awe ombaomba na DalaliSasa huu si upuuzi!
Hujaona faida yake?Sasa yana msaada gani kwa Taifa?
Aibu sana BABA MTU mzima kama Wenje kuombaomba hela ya mafutaWakuu,
Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje.
Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
View attachment 3204402