Pre GE2025 Godbless Lema: Abdul muepuke Wenje, akikuomba hela ya mafuta usimpe muitie polisi

Pre GE2025 Godbless Lema: Abdul muepuke Wenje, akikuomba hela ya mafuta usimpe muitie polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema huna jipya.
Dawa itakua imekuingia kisawasawa wastueni bodaboda tena waende kwa chea wamshawishi ahudhulie mdahalo mana hadi sasa anatumia mbinu za vegetables tupu hamjamshauri vyema
 
Kwahio kwenye hili Saga la Angels and Demons, Abdul ni Angel ?

One might ask, hivi tunapigania nini na tunataka kufika wapi ?
 
Wakuu,

Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje.

Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo

View attachment 3204402


Mama Samia naye amkataze mtoto wake kujihusisha na siasa ambazo ni kubwa kuliko yeye . Mtoto mjinga mjinga bado hawezi kwenda kwa Lissu na pesa ina maana hata Lissu hawamfahamu vizuri.
 
Acha kabisa hamna watu humu,ile mihemuko ya mawakili wao tu nilijua hawa watu wana shida kubwa vichwani mwao
Juzi bavicha mbeya wanasema hawatashiriki uchaguzi mkuu ,wakati maamuzi yanakiwa yatolewe na kamati kuu. Hamna mpangilio
 
Huyo Abdul ni nani hasa kwenye siasa za nchi hii?

Na hizo Hela anazogawa gawa ovyo ni Kwa madhumuni Gani? Na anazitoa wapi??

Hii nchi Kuna watu wanaichezea sana na raia tunaangalia tu.
 
Back
Top Bottom