Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”