Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Aiseeeee!!!
Hatakufa bali AtaishiKupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
View attachment 3314281
Sabaya yuko nje ya game, kwanza ligi ndogo sana huyoHaha Lema na mikwara
Sabaya tu anamtosha huyo nyanya
Mungu pekee ndo kila kitu nani hatakufa, makaburi yote tuonayo , kwamba hakuna waliokua na mamlaka, kwamba hakuna matajiri , kwamba hakuna mwenye cheo chochote ,Kila mmoja wetu tangu tunazaliwa alisha andikiwa atakufa vipi, mda gani na kwa njia ganiKupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
View attachment 3314281
Hata lissu mlimpuuza hivihivi mwishowe akaogeshwa masasi!!Haha Lema na mikwara
Sabaya tu anamtosha huyo nyanya
Hata lissu mlimpuuza hivihivi wakat anatoa taarifa kufuatiliwa hatimae akala masasi!! Shubaamiti!!Kiki, kiki, kiki... Mwendo wa kiki, kila mtu ancweka kivyake.
Malipo ya usaliti.Hata lissu mlimpuuza hivihivi mwishowe akaogeshwa masasi!!
Ali Kibao mliyemwua alikuwa na ushawishi gani? Soka mliyemteka na kumpoteza moja kwa moja alikuwa na ushawishi gani? Ninyi mashetani kuua ni imani yenu. Mioyo yenu haitulii wala kufurahi mpaka mfanye uovu dhidi ya watu.Sasa anaogopa nini wakati Kila mtu atakufa? Utasemaje utaishi wakati mwisho w.siku lazima kufa?
Mwisho hizi ni porojo za Kisiasa kutafuta attention tuu.
Tapeli Lema ana ushawishi gani Hadi atakiwe kuuwawa?
Nani walimuua?Ali Kibao mliyemwua alikuwa na ushawishi gani? Soka mliyemteka na kumpoteza moja kwa moja alikuwa na ushawishi gani? Ninyi mashetani kuua ni imani yenu. Mioyo yenu haitulii wala kufurahi mpaka mfanye uovu dhidi ya watu.
Shetani wakubwa ninyi, malipo yenu hamtayakwepa, na mtayapata katika wakati ulio sahihi.
No reform no election inataka kutibua maslahi ya mabwanyenye.. Huyu Bibi yupo radhi watanganyika wanakufa ili yeye aendelee na madaraka shame.Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
View attachment 3314281
Watu wanakosa hata utu walau kidogo mkuu
nai anatamani kumuua lofa kama huyo ambae anasaidiwa malezi ya familia na wanaume wengine huko ngambo?Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
View attachment 3314281

Kwani Lema ni tishio kwa nani hata watamani kumuua?Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka: