Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Nabii.Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
Atasepa na mtu au siyo?Nabii.
nshomile kachalaChadema wamechangamka sasa hivi kila mtu anaangalia atoke vipi
Huyo anayetaka kuuliwa ni baba wa familia, ana mke, ana watoto wanaomtegemea.Chadema wamechangamka sasa hivi kila mtu anaangalia atoke vipi
Watu wanakosa hata utu walau kidogo mkuuHuyo anayetaka kuuliwa ni baba wa familia, ana mke, ana watoto wanaomtegemea.
Jaribu kuwaza katika angle hiyo, Sio Chadema hivi, Chadema that.
Hao waliompa taarifa ndio wanataka kumwua, huyo mpumbavu amezoea kutrend kwa uzushi na upotoshajiKupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
View attachment 3314281
Km haogopi kufa mbn amejificha, kwanini wakati wa Magu alikimbilia Canada? Mke na watoto wake amewaacha huko Canada anataka atuharibie nchi yetu kwa vipande vya pesa? Huyo Lissu, Heche ni vibaraka wametumwa kutuharibie nchi wameshaahidiwa malipo na tayari wamepewa makazi na familia zao zinalipwa. Polisi wamalizane nayeKupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti Juu Yangu , Baada ya Kikao Hicho Mtaanza Mazishi ya Ndugu na Jamaa Zenu. Narudia , Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini. Sitakufa, Nitaishi Niuone Wema Wake Ktk Maisha Yangu.
Kutoka 14:14 “BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.”
View attachment 3314281
Mamako ndio laana, Rais wetu anatimiza wajibu wake wa kikatiba na kisheria kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ameapa kufanya hivyoHuyu bibi ni laana kwa nchi