PreGE2025 Godbless Lema adai amepewa taarifa kuwa anatakiwa kuuliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Amina, na iwe hivyo. Tunamwomba Mungu awezeshe Lema ashuhudie maziko yao wao wanaopanga uovu dhidi yake.
 
Anajipa umuhimu asiokuwa nao, hakuna mwenye shida nae.
 
Mamako ndio laana, Rais wetu anatimiza wajibu wake wa kikatiba na kisheria kulinda amani na utulivu wa nchi yetu, ameapa kufanya hivyo
Huyo bibi na wewe pia ni laana, una ndugu masikini sababu ya ccm halafu unapiga mapambio kama juha...selfish mindset
 
JPM alikuwa ananena maneno ya kimungu kama wewe ila Saa100 alilamba sahani moja naye
 
Anatafuta sababu ya kuishi Canada kama mkimbizi wa kudumu yeye familia yake😎
 
Sasa anaogopa nini wakati Kila mtu atakufa? Utasemaje utaishi wakati mwisho w.siku lazima kufa?

Mwisho hizi ni porojo za Kisiasa kutafuta attention tuu.

Tapeli Lema ana ushawishi gani Hadi atakiwe kuuwawa?
 
Drama queen

Kila uchaguzi yeye tu ndio anataka kuuliwa

Na amejua kueaokota
 
yaani huyu mwamba bado ana yale mambo ya kizamani ya kujitangazia kuwa wanataka kumuua kwanza lemaa nani anashughurika naye sasahivi? huoni hata polisi wakimkamata yaani hana imact yoyote kwenye hii nchi kisiasa ona wanaokamatwa kina heche lissu lakini lema hata mgambo hawamtaki lakini yeye sasa ili naye ajulikane kuwa yupo eti wanataka kumuua hiyo ni sawa na kwenda kupiga bomu motuary halafu ukajisifu umeua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…