PreGE2025 Godbless Lema adai amepewa taarifa kuwa anatakiwa kuuliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hatakufa bali Ataishi

Amina
 
Mungu pekee ndo kila kitu nani hatakufa, makaburi yote tuonayo , kwamba hakuna waliokua na mamlaka, kwamba hakuna matajiri , kwamba hakuna mwenye cheo chochote ,Kila mmoja wetu tangu tunazaliwa alisha andikiwa atakufa vipi, mda gani na kwa njia gani

That's lissu alipigwa Risasi hajafa, sasa yule mzilankende yupo wapi
 
Acheni kuzua taharuki nyie,lema wakuuliwa ana exposure gani kwenye jamii,hayo matusi yake ukienda kwenye mikutano yake ni kuweka ear phone unapiga mziki wa waacheni waandamane (r.i.p Capt Komba) mambo yanaenda,mnasababisha tusiuze magenge yetu
 
Sasa anaogopa nini wakati Kila mtu atakufa? Utasemaje utaishi wakati mwisho w.siku lazima kufa?

Mwisho hizi ni porojo za Kisiasa kutafuta attention tuu.

Tapeli Lema ana ushawishi gani Hadi atakiwe kuuwawa?
Ali Kibao mliyemwua alikuwa na ushawishi gani? Soka mliyemteka na kumpoteza moja kwa moja alikuwa na ushawishi gani? Ninyi mashetani kuua ni imani yenu. Mioyo yenu haitulii wala kufurahi mpaka mfanye uovu dhidi ya watu.

Shetani wakubwa ninyi, malipo yenu hamtayakwepa, na mtayapata katika wakati ulio sahihi.
 
Nani walimuua?
 
No reform no election inataka kutibua maslahi ya mabwanyenye.. Huyu Bibi yupo radhi watanganyika wanakufa ili yeye aendelee na madaraka shame.
 
nai anatamani kumuua lofa kama huyo ambae anasaidiwa malezi ya familia na wanaume wengine huko ngambo?
 
Lema si ndo hutabiria watu vifo? Inawezekana kuna mtu kamtabiria kuwa naye atakufa... that is the taste of his own medicine. Atulie
 
Kwani Lema ni tishio kwa nani hata watamani kumuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…