DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Nabii Mkuu,
Kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia Makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha
Bila shaka munakumbuka kuwa hapo Arusha aliwahi kudaiwa kuwa ni tapeli wa Magari, kwa Makonda alivyo na chuki na wapinzani hashindwi kutengeneza waigizaji kama alivyowahi kufanya kwa Bishop Gwajima na wengineo wakati anataja wauza madawa ya kulevya.
Lema kuwa makini intelijensia yako isipokuwa vizuri unatandikwa tukio moja na litakuondolea sifa zako zote
kila la heri