DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
huyo nabii wa konyo labda yaani mwizi tapeli mpiga dili mzurumaji naye mnamwita nabii yaani chadema mnawazimu kabisa ngoja sasa kamanda makonda amekwenda huko kwaajili ya watu wahuni kama lema mbona atahenyaYaani mtu wa Kolomije amtengenezee Zengwe Nabii?
mkombozi wa wana arusha kaingia wahuni kama lema wajiandae kupandishwa mahakamani soonBashite zero brain ni akili ndogo sana ni mifumo mibovu ya uteuzi katika hii nchi ndio inawaibua akina bashite .
Mtu inajulukana wazi kabisa jamaa kafoji limarehemu Magufuli likatamka hadharani hata kama kafanya hivyo ni sawa.
Makonda anachojua ni kujipendekeza ka akina mwijaku tu hana akili ya godbless lema hata thelusi yake
Huyo Makonda ataendelea na maagizo kwa makada wenzake wa ccm.mkombozi wa wana arusha kaingia wahuni kama lema wajiandae kupandishwa mahakamani soon
Tena CHUGA boyYaani mtu wa Kolomije amtengenezee Zengwe Nabii?
arudishe lori la watu mapema, mnyang'anywaji anakaribua kuskizwa πNabii Mkuu,kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha
Bila shaka munakumbuka kuwa hapo Arusha aliwahi kudaiwa kuwa ni tapeli wa Magari, kwa makonda alivyo na chuki na wapinzani hashindwi kutengeneza waigizaji kama alivyowahi kufanya kwa Bishop Gwajima na wengineo wakati anataja wauza madawa ya kulevya.
Lema kuwa makini intelijensia yako isipokuwa vizuri unatandikwa tukio moja na litakuondolea sifa zako zote
kila la heri
nabii mnyang'anyi sio πYaani mtu wa Kolomije amtengenezee Zengwe Nabii?
Matusi na Uchawi ndio nguzo pekee ya Masikinihuyo nabii wa konyo labda yaani mwizi tapeli mpiga dili mzurumaji naye mnamwita nabii yaani chadema mnawazimu kabisa ngoja sasa kamanda makonda amekwenda huko kwaajili ya watu wahuni kama lema mbona atahenya
Huna ushahidi hata wa uongonabii mnyang'anyi sio π
ya kwamba mnyang'anyi, mpiga ngeta na mpiga bomba maarufu chuga enzi hizo dhidi ya malori ya watu, ni nabii msafi kama pamba, right?πHuna ushahidi hata wa uongo
Kubishana na mjinga ni kujichafua tu, hivi kwa siasa za Tanzania zilivyo unawezaje kuwa Chadema na ukaachwa tu kwa makosa hayo? Tumia basi hata akili yako ndogo japo ile ya kuvukia barabara tuya kwamba mnyang'anyi, mpiga ngeta na mpiga bomba maarufu chuga enzi hizo dhidi ya malori ya watu, ni nabii msafi kama pamba, right?π
na nabii wenu mwizi aliyekimbilia ulaya kuolewa eti anatishiwa maisha kumbe anakimbia aliowadhurumu ngoja anyooshwe na makondsa kidume sasaMatusi na Uchawi ndio nguzo pekee ya Masikini
hasafishiki huyo mwizi hata umpambe vipi anajulikana ni mwizi tuuu na hapo wewe ndiyo unatakiwa uone aibu maana unateta weziKubishana na mjinga ni kujichafua tu, hivi kwa siasa za Tanzania zilivyo unawezaje kuwa Chadema na ukaachwa tu kwa makosa hayo? Tumia basi hata akili yako ndogo japo ile ya kuvukia barabara tu
@ erythrocyte anamwita nabii yaani chadema wezi wanaitwa manabii ni aibuu sana hii inamaana hata chama kina tabia hiyoLema kweli alikua ni mwizi wa magari mbona hapa Arusha inajulikana sana