JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
jogoo ameshawika Dodoma.Duh
Kumekucha
Amesoma upepo wa kuaibika uliomkuta Msigwa 😁😁Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamiiView attachment 3003541
Lema sasa hivi kapigwa spana na Makonda hana hata hamu na mikutano kaona hana uwezo tena wakufanya siasa Arusha kwisha kazi yake huyo chaliiiiii.Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamiiView attachment 3003541
Kazi iendeleeHii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamiiView attachment 3003541
kumbe hujui siasa mkuu. Lema ni mfuasi wa Lissu?Amesoma upepo wa kuaibika uliomkuta Msigwa 😁😁
Lema ni mfuasi wa omba omba Lisu
Good move amwambie na Mbowe kuwa muda wake wa kuwa mwenyekiti Sasa umeisha.Amesoma upepo wa kuaibika uliomkuta Msigwa 😁😁
Lema ni mfuasi wa omba omba Lisu
Acha ramli Jo,fuatilia ya chamani kwakoDuh
Kumekucha au Wafadhili wamemcheleweshea mzigo
Au kapiga mahesabu kibiashara maana hatujasahau alivyomtenda Lyatonga na TLP kwa kueksichenji na Felix 😂😂😂
Maisha hesabu tu,haina sababu kumpa kiki mwehu mwisho atakulabua rugu la kichwa🤣AISEE MAKONA NI KIBOKO WATU WANAANZA KUJITOA HATA KUGOMBEA KWENYE CHAMA CHAO WENYEWE?? VIVAAA MAKONDAA NILISEMA BADO LEMA TAYARI AMEANZA KUJAMBAJAMBA HUKO
Sio mfuasi wa Mbowe tena Bali wa Lisu. Inaamaana ile propaganda yenu ya kuwa cdm ni chama Cha wachaga mnaipoteza kirahisi hivi?Amesoma upepo wa kuaibika uliomkuta Msigwa 😁😁
Lema ni mfuasi wa omba omba Lisu
Hao akina choise mamluki wa kuwatakia mabaya chadema,siku zote🤔Sio mfuasi wq Mbowe tena Bali wa Lisu. Inaamaana ile propaganda yenu ya kuwa cdm ni chama Cha wachaga mnaipoteza kirahisi hivi?
Ni chama Cha Wachaga ndio ila huyu ni mfuasi wa LisuSio mfuasi wq Mbowe tena Bali wa Lisu. Inaamaana ile propaganda yenu ya kuwa cdm ni chama Cha wachaga mnaipoteza kirahisi hivi?
Wakati Mbowe anaficha Taarifa za Vikao vya Maridhiano Lema alimwambia Wakirudi nyumbani yeye na Lisu ni lazima CC iitishwe Mbowe atoe taarifa vinginevyo wanamng'oaNi chama Cha Wachaga ndio ila huyu ni mfuasi wa Lisu
uko kwa lissu kwakuwani ombaomba mwenziye wachaga hawajawahi kuwa ombaomba kama lema aiseeeSio mfuasi wq Mbowe tena Bali wa Lisu. Inaamaana ile propaganda yenu ya kuwa cdm ni chama Cha wachaga mnaipoteza kirahisi hivi?
ombaomba group kwa wazunguNi chama Cha Wachaga ndio ila huyu ni mfuasi wa Lisu