Pre GE2025 Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti Kanda ya Kaskazini

Pre GE2025 Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti Kanda ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,011
Reaction score
1,681
Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii
---

lema.jpg

Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki tunachoelekea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi Mkuu 2025, sitagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda kwa mara hii ktk uchaguzi unaokuja.

Kwa sasa nitafanya wajibu wangu muhimu wa ujenzi wa chama ktk kipindi kilichobaki.

lema.png

Pia soma: Mwananyasa mumchague Sugu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa
 
Back
Top Bottom