Siasa bila watu unaweza wehuka, mtaji wa mwanasiasa ni watu.
Mzima kabisa wala si nusu. Uelewa mdogo sana wa kishetani. Matusi ni kuona uelewa wangu mdogo na wewe bonge la GT. Vile unaona mabandiko yako ni hoja? Pole. Simple mind ndiye awezaye kusema : kaandamane sasa. Diabolic thinking, mama Devil. Sijatukana binadamu. I call a spade a spade. If the cap fits you wear it.Wewe ni mzima Kweli?
Una uelewa mdogo sana ndio maana unatoa tuu mitusi bila kujenga hoja.
Haya nenda kaandamane sasa
Ahaaa mada ina uzito gani? Nauliza hivi wananchi kumg'oa dictator anayetawala mpaka iwe nguvu ya ndani tu?
Tanzania inafuata misingi ya chama kimoja?Rais wa sasa wa Egypt baada ya maandamano ya kumng'oa Mubarak hakuingia kwa kura, maana box la kura huko lilishapoteza maana kama ilivyo hapa Tanzania sasa. Misingi ya katiba ya chama kimoja imepitwa na wakati na ndio maana tumefikia hali hii. Tuna katiba iliyokataliwa na mtawala ili aburuze watu. Subiri uone kitakachofanywa na bunge hili ili ujue dhamira ya kunajisi uchaguzi huu, lengo lake lilikuwa ni nini.
Nashangaa wao kukimbia nchi wakati kuna amani na nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheriaSasa unashangaa nini akina Lema kukimbilia nje wakati nguvu ya kumng'oa dictator sio lazima iwe ya ndani tu?
Nimekupuuza kama ulivyo mwenyeweMzima kabisa wala si nusu. Uelewa mdogo sana wa kishetani. Matusi ni kuona uelewa wangu mdogo na wewe bonge la GT. Vile unaona mabandiko yako ni hoja? Pole. Simple mind ndiye awezaye kusema : kaandamane sasa. Diabolic thinking, mama Devil. Sijatukana binadamu. I call a spade a spade. If the cap fits you wear it.
Small mind. Wanaouwawa wote lazima wawe wabunge tu? Akina Azori Gwanda wako wapi nao walikuwa ni wabunge?Stunt
Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?
Lema ni threat kwa nani??
Kama personal issue alikabili tu
Tanzania inafuata misingi ya chama kimoja?
Hapa Tanzania kuna rais aliyeingia kwa kupindua?
Chadema kukosa wabunge ndio sababu ya kusema uchaguzi ulikuwa najisi? Wapi imeandikwa kwenye katiba Chadema
Nashangaa wao kukimbia nchi wakati kuna amani na nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria
Mkuu, suala la uhai wa mtanzania awaye yeyeote siyo la mzaha ni kwa msingi huo huo suala la kufanya uchunguzi juu ya nani hasa walishiriki kumshambulia ndugu Antipasu na walikuwa na lengo gani, pia haliwezi kufaanywa kimzaha!Wangekuwa wanaogopa gharama tusingewaona wakitumia ma VX kwa mizunguko isiyo na tija.
Ww unaona mfumo wa chama kimoja umepitwa na wakati. Sawa.Rais wa sasa wa Egypt baada ya maandamano ya kumng'oa Mubarak hakuingia kwa kura, maana box la kura huko lilishapoteza maana kama ilivyo hapa Tanzania sasa. Misingi ya katiba ya chama kimoja imepitwa na wakati na ndio maana tumefikia hali hii. Tuna katiba iliyokataliwa na mtawala ili aburuze watu. Subiri uone kitakachofanywa na bunge hili ili ujue dhamira ya kunajisi uchaguzi huu, lengo lake lilikuwa ni nini.
Hiyo sijajua. Ile Mimi huyo maza D nilifanya ignore na sioni tena post zake wala yeye toka jana.Nataka ile ya kumblock mtu nisione hata jina lake wala maandiko yake hii ignore list hakuna kitu
Vipi yule aliyekua anatembelea helicopter wakati wa campaign za uchaguzi ? Hivi akipata uraisi si ndio atakua na private jet!!Wangekuwa wanaogopa gharama tusingewaona wakitumia ma VX kwa mizunguko isiyo na tija.
Ahaaa, malalamiko ni haya haya tokea utawala wa hayati Mkapa.Toka awamu hii imeingia madarakani vyama vingi vipo kinadharia na sio kiuhalisia. Hakuna aliyeingia kwa kupindua nchi, ila sasa anayetawala hana tofauti na aliyeingia kwa kupindua nchi. Si lazima cdm kupata wabunge, ila kukosa huko isiwe kwa hiki kilichofanyika juzi. Hofu sio amani, nchi ina amani kisha mitandao ya kijamii inazimwa!?
Mkuu, suala la uhai wa mtanzania awaye yeyeote siyo la mzaha ni kwa msingi huo huo suala la kufanya uchunguzi juu ya nani hasa walishiriki kumshambulia ndugu Antipasu na walikuwa na lengo gani, pia haliwezi kufaanywa kimzaha!
Lazima kila kitu kichunguzwe ambacho kinaweza kurahisisha kupatikana taarifa za kufikia lengo la uchunguzi huo. Dereva aliyekuwa na Antipasu wakati wa shambulizi hilo ni shahidi muhimu sana na ndiye hasa aliyeona tukio zima hata baada ya ndugu Antipasu kuwa katika hali ya hatari zaidi kiafya.
Kitendo cha kutetea kumficha dereva huyo wakati ni muhimu katika uchunguzi huu! Kinazalisha maswalj mengi zaidi ya majibu. Maswali mojawapo ni je dereva ana siri gani ambazo hata yeye mwenyewe Ndugu Antipasu hataki wachunguzi wa kushambuliwa kwake na watanzania kwa ujumla hataki wazijue!?
Vipi yule aliyekua anatembelea helicopter wakati wa campaign za uchaguzi ? Hivi akipata uraisi si ndio atakua na private jet!!
Hizo helicopters unazosemea ni kwa ajili ya usalama wa wananchi na usalama wake yeye kama raisi (kwani alikua hajavuliwa uraisi wakati huo) . Mm naona alikua na haki zote za kulindwa na hizo helicopter za ulinzi kama raisi.Private Jet zina tofauti gani na huyu mzalendo ambaye kila aendapo kuna helicopters za ulinzi zinazunguka angani?
Mkuu wa nchi lazima apewe ulinzi wa kutosha,hasa rais mzalendo ambae analinda rasilimali za nchi,anakuwa na maadui wengi hasa mabeberu na mafisadi.Private Jet zina tofauti gani na huyu mzalendo ambaye kila aendapo kuna helicopters za ulinzi zinazunguka angani?
Ahaaa, malalamiko ni haya haya tokea utawala wa hayati Mkapa.
Ulitaka wakose vipi ili ulidhike? Mitandao kuzimwa kwa usalama ni jambo la kawaida hasa kwa serikali makini ambayo inajitambua.
Hizo helicopters unazosemea ni kwa ajili ya usalama wake yeye kama raisi (kwani alikua hajavuliwa uraisi wakati huo) na usalama wa wananchi
Hujui? Au unajifanya hujui? Hujui kuwa ana maadui wengi? Unadhani wanafurahi anavyolinda rasilimali za nchi? Unadhani wanafurahi anavyodhibiti ufisadi?Unadhani hatujui tofauti ya sasa na awamu zilizopita? 2015 mbona haikuzimwa
Huyo unayesema akiwa madarakani atatumia private jet na yeye atasema ni kwa ajili ya usalama wake, kisha watatokea wapambe kama ww watetee huo uhuni. Tumekuwa na marais wa nne mpaka sasa, mbona hatukuwahi kuona ulinzi wa helicopters na makomandoo kama sasa, kipi cha maana sana kwa huyu?
Kweli kabisaa. Halafu tukumbuke pia mabeberu, makaburu na mafisadi (vibaraka wa wakoloni), wamekasirika sana sababu raisi wetu aliwaumbua kwenye vipimo vya corona 🙈. YeleuwiiMkuu wa nchi lazima apewe ulinzi wa kutosha,hasa rais mzalendo ambae analinda rasilimali za nchi,anakuwa na maadui wengi hasa mabeberu na mafisadi.
Mkuu wa nchi lazima apewe ulinzi wa kutosha,hasa rais mzalendo ambae analinda rasilimali za nchi,anakuwa na maadui wengi hasa mabeberu na mafisadi.