Kweli wewe ni Kifaurongo. Wanakimbia kuuawa. Kifo hakikimbiwi. Wakiuawa watakuja kuomba kura? Wakiwa hai hata kwa kutuacha solemba leo wanaweza kuomba kura wakati muafaka. Tutawaelewa na kura tutawapa. Maiti hapigiwi kura. Leo wanatafutwa wanawindwa. Hitler alijua hawezi kutawala dunia kama wanaishi Wayahudi. Wakauawa. Kuna mtu anataka kumiliki Tanzania. Hawezi kama wanaishi wapinzani. Wauawe!Yaani imefikia hatua viongozi wote wa Chadema wanatuacha Solemba. Halafu 2025 warudi tena kutuomba kura😂😂
Pale anayetoa tuhuma za kutaka kuuawa anapo chat na wanaotaka kumuua😂😂Kweli wewe ni Kifaurongo. Wanakimbia kuuawa. Kifo hakikimbiwi. Wakiuawa watakuja kuomba kura? Wakiwa hai hata kwa kutuacha solemba leo wanaweza kuomba kura wakati muafaka. Tutawaelewa na kura tutawapa. Maiti hapigiwi kura. Leo wanatafutwa wanawindwa. Hitler alijua hawezi kutawala dunia kama wanaishi Wayahudi. Wakauawa. Kuna mtu anataka kumiliki Tanzania. Hawezi kama wanaishi wapinzani. Wauawe!
Kuna kitabu kinaitwa “ujinga wa muafrika” sijui bado kipo??😊Dunia inauona ukweli, hali ya usalama wa nchi si jambo la kuficha, hii ni kukosa uzalendo, hakuna yeyote katika nchi zilizoendelea anaweza kufanya haya...Taifa kwanza..
Katika mazingira hayo, what's way forward!? Sidhani kama jambo hili mmeliweka kama kinga ya kuficha madhaifu ya baadhi ya viongozi wa siasa za kipinzani.Mkuu ni kwamba unaona unajadili na mtoto au? Lisu amekuja hapa na kukaa zaidi ya miezi mitatu, mbona hajahojiwa chochote wakati yeye ndio aliyeshambuliwa? Dereva anatakiwa sio kuhojiwa bali kutishiwa ili kukishwa maneno ili apoteze ushahidi. Tunafahamu utendaji kazi wa vyombo vyetu vya uchanguzi.
Una hakika kama Lissu sio mjinga?Lissu sio mjinga usipende puuza maneno ya mtu na bora amesema ,mfano huenda ni wahuni fulani na je unajua leo Kama ikitokea Lissu akadhulika unafikiri lipi laweza kutokea, mbona mnajitoa ufahamu, elewa mnajifanya wazalendo ila hakuna kitu,zaidi ya ushabiki usiokua na maana, acheni kujitoa ufahamu, niliwahi sema humu Tz kunabwanafiki sana na wengi ndo mharibia JPM,kwa kujikosoa
Hakuna kitu umeandika HAPA, unaandika vitu ambavyo Wala havitoki moyoni mwako bali kiushabiki tu wa ukadaUna hakika kama Lissu sio mjinga?
Mbona ujinga wake upo wazi kabisa?
Mtu anaelazimisha ushindi hata kama wananchi hawamtaki sio mjinga huyo?
Mtu anaepambana nchi yetu iingie kwenye matatizo kwa maslah ya mabeberu, sio mjinga huyo?
Mtu anaetaka kuweka rehani madini yetu, sio mjinga huyo?
Mtu anaetetea na kubariki mapenzi ya jinsia moja huku akijua mila na tamaduni zetu hazikubali hilo, sio mjinga huyo?
Mtu ambae katumia muda wake wote wakampeni kutukana na kukashfu bila kusema yeye atafanya nn, sio jinga hilo?
Yapo mengi Sana ila tuhitimishe kwakusema ni JINGA KABISA!
Ingependeza saana kama ungejibu hoja au maswali yaliyoulizwa.Hakuna kitu umeandika HAPA, unaandika vitu ambavyo Wala havitoki moyoni mwako bali kiushabiki tu wa ukada
Unajibuje mkuu propaganda tu, hamna kitu ni maneno Kama maneno mengine ya kishabiki ,na kwa lowassa yalikuepo mengi ila alivyorudi nyumba hatuyasikii tenaIngependeza saana kama ungejibu hoja au maswali yaliyoulizwa.
Mm naona hayo maneno ya kishabiki yanafanana na hayo uliyoyaandika hapo juu.Unajibuje mkuu propaganda tu, hamna kitu ni maneno Kama maneno mengine ya kishabiki ,na kwa lowassa yalikuepo mengi ila alivyorudi nyumba hatuyasikii tena
Sawa umeshinda mkuuMm naona hayo maneno ya kishabiki yanafanana na hayo uliyoyaandika hapo juu.
Ushindi ni wetu sote, sababu kila mtu ameandika mtazamo wake.Sawa umeshinda mkuu
Kupuuzwa na wewe unayepuuzwa na kila mtu ni baraka. Nilitaka nikuokoe na kupuuzwa unakopuuzwa. Nikufunde. Umekataa umekuwa mbogo. Nanawa mikono. Laana haitakuacha salama. Nincompoop!Nimekupuuza kama ulivyo mwenyewe
Kupuuzwa na wewe unayepuuzwa na kila mtu ni baraka. Nilitaka nikuokoe na kupuuzwa unakopuuzwa. Nikufunde. Umekataa umekuwa mbogo. Nanawa mikono. Laana haitakuacha salama. Nincompoop!
Haya mkuu Bora unamaneno ya busara sio Kama hao wengineUshindi ni wetu sote, sababu kila mtu ameandika mtazamo wake.
Finito. Mpumbavu mtwange kinuni na mchi abaki mpumbavu!Nimekupuuza sababu una laana isiyo na tiba. Pole lakini binadamu hatufanani
Inawezekana kuna yaliyofanyika sio poa, ila kuleta drama kama hizi kusababisha taharuki sio poa zaidi.
Ina athiri kwa kuleta taharuki. Lkn pia tahadhari ni muhimu kwakeNgoja nikubaliane nawewe kuwa ni drama..
Inatuathiri nini?
Tuseme siyo drama, vipi yamkute au achukue tahadhari?
Ina athiri kwa kuleta taharuki. Lkn pia tahadhari ni muhimu kwake
Hata katika mfano Lema hawezi kuwa baba yangu.Angekuwa Lema ni Baba yako ungemchagulia kipi?
A. Aepushe taharuki?
B. Achukue tahadhari kabla ya hatari
Hata katika mfano Lema hawezi kuwa baba yangu.