Huo ndio ukweli, usishangae kesho ukasikia mwingine kakimbilia ubalozi wa marekani Zambia.Nadhani wamekaa na kukubaliana kuwa hii iwe strategy mpya ya kuharibu image ya nchi baada ya kuukosa ubunge.
Wanajua wakiwa wabunge wanakuwa na Parliamentary Immunity, so wanaweza ongea lolote wakiwa ndani ya bunge.
Kwakua sasa hawana hiyo the ONLY cover ni kuwa wakimbizi wa kisiasa huko watazungumza lolote wakiwa uhamishoni.
Wapinzani ni watu hatari Sana kwa Ustawi wa Taifa letu, ni wabinafsi kupindukia,
Tutaendelea kusikia Taarifa kama hizi toka kwa wengine.
Soma nilichoandika, acha kukurupuka.Ina maana anapaswa kukubaliana na mawazo yao? Wasipingwe kwa chochote?
Lema hana lolote sana sana labda anataka kurudi kwenye kazi yake ya wizi wa magari toka Tanzania na kuyauza Kenya!Unauliza Lema Godless ni threat kwa nani? Kama upo kwa shemeji yako au una maslahi na watawala hawa wa mabavu hutoshangaa kuhusu hilo. . ila amini kwamba dikteta anawaogopa watu aina ya Lema kuliko huyo mumeo anavyoogopa kufukuzwa kazi kwa kumteta vibaya Nduli.
Kitu gani kizuri kilicho fanywa hapa nchini ambacho wapinzani walikiunga mkono kuwa ni kizuri?Mkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.
Alikuwa anamaanisha sumu kama ile ambayo Mr Mzungu alikuwa akiimwaga kila kukicha kila mahali kwenye mkutano wake wa kampeni, dhidi ya Dkt. Magufuli. Hiyo ni lugha tu ya wanasiasa na sayansi ya uongozi, saikolojia & ushawishi. Usikae ukatishika, ukachukulia mambo 'kilalisia' (literally).We Dada una funza kichwani
Hujasikia ile clip kheri James anasema " sasa hivi ni sindano ya sumu tu pyuuu, kwisha kazi yake" ?????
Mungu sasa ana waswitch wanajiumbua wenyewe.
Lema anakipi mpaka kutishiwa huyu fala?
awanakazi za kufanya hapa bongo ubunge wao umekoma wanatafuta fursa za maisha U.S na Europe wakabebe maboksi kwakisingizio cha kutishiwa kuuwawa.
Point takenHii ni fulfillment ya ahadi iliyokuwa inatolewa kwenye kampeni, 'nitaiambia international community' iingilie kati. Baada ya kujaribu ya mandamano ikashindikana, sasa ndo imekuja hii ya kutafuta hifadhi kwenye ubalozi wa marekani (lissu alikuwa anaenda us embassy Dar, lema anaenda us embassy aNbo)!
Ndo ulicho baki nacho tu hicho kichwani hakuna jipya hapo.Bibi yako wa kambo kuchumbiwa
Tutasikia tu mkuu,Huo ndio ukweli, usishangae kesho ukasikia mwingine kakimbilia ubalozi wa marekani Zambia.
Watu wengi hawapendi uzalendo; kiongozi anayeleta maendeleo wanamzodoa na kumtukana eti dikteta uchwara. Dah! Aliyetuletea mdudu demokrasia wa namna hii alitukomesha sana.Hivi ilikua je hadi Tanzania iliyokuwa Geneva ya Afrika kutumbukia kwenye mkwamo wa kikatili kizandiki ushetani wa utawala usioheshimu utu haki wala utawala wa kidemokrasia?
Mungu rehemu taifa hili linalozama matopeni kwa kasi ya 5G.
Kama upo nje ya genge la Gambo hutafahamu hayo, wewe ni keyboard guard au u just a foreman manipulater hapo Lumumba .Lema hana lolote sana sana labda anataka kurudi kwenye kazi yake ya wizi wa magari toka Tanzania na kuyauza Kenya!
Ndio tutakimbiliaHuo ndio ukweli, usishangae kesho ukasikia mwingine kakimbilia ubalozi wa marekani Zambia.
Pengine kwa vile both of your names begin with letter D?Sio kote mtu unaweza kutetea au kuwa neutral Dina
Pole kwa kukuudhi
Acha unafiki mkuu, kamanda wako next week anateua baraza.Sasa maandamano yetu yatakuwaje tena wakati makamanda wakuu kumbe ni waoga wamejificha wanatafuta ukimbizi?
Tumeyamaliza🙏Pengine kwa vile both of your names begin with letter D?
Binafsi nisichangie chochote kumhusu.
Ila tu.... kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha...tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Mbona hapa kitaa barida tuu...
Ours is a matured democracy. Pls stop lying, OK?Democracy is about to die in this country,
and almost all at once, Tanzanian argued about it, and then they tried to fix it.
“The future of democracy is topic number one in the animated discussion going on all over in this country,you sound like you dont live around,please dont try to undermine us,remember the battle we facing is tough one
Sasa mkuu...bila maelezo ya dereva kesi itafuguliwa vipi? Ni shahidi muhimuHuwa nakuona kama mtu flani hivi muelewa sana kumbe ndo hivi