Godbless Lema alalamika DC aliyeharibu shamba la Mbowe Wilayani Hai kuteuliwa Ubalozi

Godbless Lema alalamika DC aliyeharibu shamba la Mbowe Wilayani Hai kuteuliwa Ubalozi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amelalamikia uteuzi wa Gelasius Bakyana kuwa Balozi

Lema anesema Teuzi kama Hizi zinachochea kukua kwa Ukatili na Uovu hasa ikizingatiwa Gelasius Bakyana ndiye aliyefyekelea mbali mazao ya mwenyekiti wa chama Kikuu cha Upinzani mh Freeman Mbowe

Mh Lema ametoa malalamiko yake kupitia ukurasa wake wa twitter

God bless you all!

Pia soma

Byakanwa.png
 
Ha, kumbe ni balozi? Sijamsikia toka baada ya ukuu wa mkoa Mtwara nikajua alishatemwa!
 
Leo kateuliwa balozi kumpa shukrani kwa matendo yake maovu wakati wa magufuli.
Alifyeka shamba la Mbowe kama shetani vile na mbwembwe zote mbele ya video kuuhakikishia umma kuwa ni katili mfuasi wa Jiwe.
 
Unafikiri ni jiwe NDIO alikua anarudiikiwa!!?

Ni phase na trend ya utawala NDIO iliruhusu yale!

Sio jiwe Bali utawala wake ulishapangiwa NINI cha kufanya!!na hicho ndio kulikua SAHIHI kufanyika!!

Mbowe ashukuru ana afya njema HADI Leo!!

Wangapi wakitangulia wakati ule!!

Unafikiri china kilitunga hayo!!?ilikua HIVYO kufanyika KWA MALENGO maalum sio KWA mbowe tu Bali na wote yaliyowakuta!!
 
Back
Top Bottom