Godbless Lema alalamika DC aliyeharibu shamba la Mbowe Wilayani Hai kuteuliwa Ubalozi

Wewe una chuki binafsi na Magufuli, Magufuli aliagiza mashamba yote ambayo hayaendelezwi yanyan'ganywe wapewe wengine wenye sifa waziendeleze hakuna sehemu alisema yaharibiwe huyo balozi alifanya kwa utashi wake binafsi
 
siwezi kuongeza neno! Was magufuli a friend of opposition?
 
Kulalamika haitoshi si wanao uwezo wa kuombea watu wafe- akaombe kwa Mungu wake. Yaani Gaidi Mbowe alime kwa namna inayohatarisha chanzo cha maji halafu asichukuliwe hatua?
 
Toka lini Tiss akatemwa kizembe, alipotoka mtwara chap alienda zake korea huko ubalozini
 
Inategemea atateuliwa kuwakilisha nchi ktk taifa gani. Iwapo atapangiwa mataifa ya marekani au ulaya tuhuma hizi zaweza kumkwaza iwapo zitawasilishwa katika mataifa hayo kwa wahusika. Wenzetu wako very keen kwa vitendo vya watawala waonevu na hawawezi kufumbia macho mtu wa aina hii akawa mwakilishi kwa nchi zinazozingatia utawala wa sheria, haki na demokrasia. Watch this space
 
Sitashangaa siku nikimuona SAA BAYA JUKWAANI AISEE
 
Sasa unampangia Rais nani amteuwe? Acheni hoja za namna hii.
 
Jiwe alikuwa anapangiwa cha kufanya katika utawala wake? Na nani? Kwa malengo gani? Mbona basi alimpangia mambo ya ovyo sana? Mpangaji alikuwa shetani?😳

Labda utasema nahitaji “akili ya ziada” kuelewa haya.
 
Mtafute jamaa anaitwa samurai halafu ile comment ya kwanza utakayo iona fungua utaona maelekezo aliyokua amepewa kuyaua mafisadi na kuyafilisi KABISA!nenda kasome tena kaandika "hahaha samiah"
 
Mtafute jamaa anaitwa samurai halafu ile comment ya kwanza utakayo iona fungua utaona maelekezo aliyokua amepewa kuyaua mafisadi na kuyafilisi KABISA!nenda kasome tena kaandika "hahaha samiah"
Mkuu sihitaji kumtafuta huyo Samurai. Nimekwishaelewa. Nyinyi na Jiwe lazima ni watu maalum sana katika nchi hii. Bahati mbaya jiwe keshatutoka. Au nayo alipangiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…