Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini bwana Godbless Lema amemrushia tuhuma nzito makamu mwenyekiti wa Chadema bara bwana Benson Kigaila kuwa amehusika kuandaa kundi la wahuni lililoenda kufanya vurugu kwenye uchaguzi wa Chadema mkoani Arusha. Bwana Lema amemuonya bwana Benson Kigaila kuwa aache ujinga kwani hawezi akaanda kundi la kumtukana Lema na Mbowe alafu akaendelea kuangaliwa tu.
My take: Lema amezoea kutukana wenzake miaka yote na kuwatabiria mabaya, leo zamu yake kutukanwa na kutabiriwa mabaya anaanza kulialia , tunaomba atulie dawa imwingie.
---
"Sasa ukiniuliza mimi kwamba ile fujo chanzo chake ni nini? Naibu Katibu Mkuu bara CHADEMA (Benson Kigaila) anaweza akawa na majibu ya hili, maneno haya isivyo bahati ninayasema, ila ninayasema kwa ajili ya kutunza uaminifu wangu, kwasababu nyinyi wanahabari hamkurekodi lile jambo kwenye vikao vya chama, haya nitayasema hadharani" Lema.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema akizungumza na wanahabari mkoani Arusha Novemba 16, 2024 juu ya ugomvi wa wanachama wa chama hicho uliotokea hivi karibuni mkoani humo.