Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Hii sekta ya madini inaweza ikaajiri vijana wote zaidi ya 60%.Inatakiwa serikali iandae mitaala ya uchimbaji madini toka elimu ya msingi,KILA mkoa kuna madini yanaoza tu wageni ndo unufaika nayo
 
Hii sekta ya madini inaweza ikaajiri vijana wote zaidi ya 60%.Inatakiwa serikali iandae mitaala ya uchimbaji madini toka elimu ya msingi,KILA mkoa kuna madini yanaoza tu wageni ndo unufaika nayo

Elimu yote kwa vijana iwajenge Wanawake, Wanaume kujiajiri.

Kutumia na kuwapa rasilimali karibu na mipaka yao kupambana, kuyathibiti na kufanikiwa kimaisha.

Haiwezekani uzungukwe migodi yote muhimu Duniani uendelee kuwa Maskini wa kutupwa.
 
Elimu yote kwa vijana iwajenge Wanawake, Wanaume kujiajiri.

Kutumia na kuwapa rasilimali karibu na mipaka yao kupambana, kuyathibiti na kufanikiwa kimaisha.

Haiwezekani uzungukwe migodi yote muhimu Duniani uendelee kuwa Maskini wa kutupwa. Watu
Watawala uogopa kuongoza watu walioshiba
 
Lema amekuwa mswahili swahili utafikiri anaishi Tandale.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tuna imani na SSH. Huo ndo ukweli. Hutaki unaacha. Nchi iliendeshwa kihunu sana awamu ya 5. Maofisini mzinza, msukuma au mnyamwezi hata kama alikuwa mtunza masijala alipewa ukuu Wa idara so long ni wa Kanda Ile. Shenzi Sasa tuheshimiane mjini.
 
Huyu wanadai alikuwa mwalimu! Yaani utoke ualimu upewe wizara nyeeti ya madini kweli???
Kama kazingua apigwe chini haijalishi kandayake kulalamika wanaezuliwa paani!!
 
Alikuwa sehemu ya nchi kuendeshwa kihuni. Kupata Madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…