Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Biteko ni moja ya vijana Smart sana. But kwa kuwa kigezo Cha mama ni watu wanaomsikiliza na sio umakini na uwezo wa mtu Basi tusitegemee kumuona Dotto kwenye Baraza lijalo
Kwa mfano, ikitokea Mhe. Rais akamteua tena?
 
Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko.

Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe.

Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe unafikiri ni kijana wao? Hivyo huenda yale ya Tanzanite kuibiwa ikawa namna ya sababu.

Hata hivyo Biteko sikuona Kama ni mtendaji mzuri kihivyo.

Sijui nani atarithi hii nafasi ya Biteko, au labda mrithi anaweza kutoka mtama.

Pole Biteko, Ila kwa heri.

Hawa si ndio waliopita bila kupingwa?
 
Back
Top Bottom