Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

Utakuwa na walakini kwenye kipumulio chako kisichokuwa na meno. Unazusha ujinga usio na chembe ya ukweli. Kwa TAARIFA yenu waliomo kwenye sekta ya madini hasa wachimbaji wadogo wanampenda sana Doto. Ametatua shida zao nyingi mno. Wafanye tu hayo maamuzi lakini matokeo yake yanaweza kuwa Hasi vibaya mno.
 
Wizara ngumu sana...

Ila Kairuki alidumu bila mizengwe...
Doto kinachomsumbua ni tamaa iliyopindukia ya utajiri wa haraka. Ni kama alikuwa anasubiria marehemu aondoke ili aweze kuonekana kwa uhalisia wake.
 
Kabisa kabisa. Waziri Biteko rekodi ya utendaji inambeba.
 
Hakuna kitu kibaya na cha laana kama ukabila aliouunda mwendazake.
Utawatafuna ccm na wasukuma wake
 
Kwahiyo akifa wizara itakuwa wazi mpaka afufuke Dotto tena ?
 
Hawana chuki na watu wa kanda ya ziwa SEMA wana chuki na wasukuma na genge lao.

We ulitaka mama akawe korokoroni?
Huyo Doto ndo awe anampangia mama kazi?
sukuma Gang kwishney kichaa wenu hayupo punguani ninyi
 
Kichaa wenu mwendazake mbona alitoa mawaziri wote akapachika wasukuma hamkusema
 
yaani aliyeyaingiza haya majamaa kwenye utawala aisee, hata sijui kwanini aliruhusu hili.
 
Huyu ni mnyarwanda

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Lema ni mungu wa kichagga?
maana kila kifo na anguko liko mikononi mwake.
Na alaaniwe sana huyu muuaji na messenger wake . Tunasubiri huyu lema kama hazikwi na haozi
 
Biteko ni mchapakazi Sana ,pelekeni nonsense zenu huko...
 
Mama anajalibu kuwatuliza wenye kelele. Ni kweli Biteko ni mpiga dili sana. Kuna haja akakaa pembeni.

Mpiga kelele kwa sasa amebakia m1 tu kutoka millet bila shaka atakumbukwa katika nafasi hiyo.
 
Tale yupi? Wa darasa la saba B?!ataongea Lugha gani na wawekezaji au wanampa na mkalimani !??🥲🥲🥲
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona msukuma ni darasa la 4D lakini anamtoa kamasi Prof Muhongo na wasomi kabao!!
 
Ni afisa kipenyo huyu,,, amejificha kwenye unabii
 
Biteko ni moja ya vijana Smart sana. But kwa kuwa kigezo Cha mama ni watu wanaomsikiliza na sio umakini na uwezo wa mtu Basi tusitegemee kumuona Dotto kwenye Baraza lijalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…