They are serious social issues! Huwezi kuzungumzia maendeleo wakati watu walidhulumiwa na kuharibiwa maisha na biasharaRais asipokua makini anaweza kumaliza muda wake akifanyia kazi issues za wapinzani TU
Ndio maana huwa wanasema "if you give them an inch they will ask for a mile".
Wakimaliza hili, watadai jingine na wakiona wametimiza malengo yao wataanza kumpinga.
Kama ndg yangu hatokaa kwa kutulia basi na apotezwe tu wala sitokuwa na muda nae kwa sababu ya kiherehere chake.Kuna watu wanabeza ombi la Lema na kulifanya kisiasa.
Iko hivi, Kuna siku mwanafamilia yako atapotea Kama Ben Saanane, atapigwa Risasi Kama Lissu, atapotezwa Kama Azory na utahangaika pasipo majibu, utalia pasiwe na wa kukufuata machozi.
Utafuatilia kwenye kila taasisi hutapewa ushirikiano uliotegemea. Utatamani kukaa matanga lakini utasema je akiwa bado yu hai itakuaje.
Hivyo kabla ya kubeza kuweka siasa jiulize hili linamanufaa kwa umma?
Pili tutambue mojawapo ya kazi ya serikali ni kulinda raia wake na Mali zao popote walipo hata nje ya mipaka. Sasa anapotokea kapotea mtu au kuuwawa pasipo kujulikana lazima serikali ichunguze na kuwakamata wahusika.
Sasa kupotea kwa Ben na Azory Kuna Mambo mengi yamesemwa, kupigwa kwa Lissu Risasi Kuna mengi yamesemwa. Familia zao zinataka majibu na watanzania tunataka majibu.
Kuna waliokotwa beach na mtoni watanzania wanataka majibu wale ni kina Nani na waliuwawa na kina Nani?
Watanzania wengi wamepotea hasa huko Rufiji na Mkuranga watanzania wanataka kujua walipo.
Lakini pia Kuna watu walitekwa Mohomed Dewj, Roma na wengine watanzania wanataka majibu kina Nani walikua wanafanya utekaji ule? Je wameshadhibitiwa?
Vijana wa CCM na all pro CCM, Kuna wengi mlikua mnamshabikia Sabaya na kusema alikua anamshughulikia Mbowe, kumbe alikua anafanya yaliyo kinyume na kiapo chake Sasa hivi mnamkimbia.
huyu lemma huwaga anamatatizo ya akili na sasa kama alikuwa anajifanya hajui hao aliyewapoteza ndiyoatajuwa maana gaidi yupo sehemu yqa kutaja makosa yote aliyofanyaPia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
gaidi yupo ndani atasematumama anasemaje kuhusu kupotea kwa ben?
Yes Yes wakikuchoma na Pini na wewe unanunua super glue ndani utakutana...Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.
HAHAHAHA 😆😆gaidi yupo ndani atasematu
Lema alioteshwa wewee, punguza hisia km za "mwendazake"Tunataka kujua taarifa ya kifo cha Magufuli kina Tundu Lissu na huyu lema walikuwaga wanazipatia wapi kabla hatujatangaziwa? Na huyu lema aliwahi kutabiri kifo cha JPM tulitaka ahojiwe vizuri atakuwa anajua chanzo cha kifo chake.