Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Unafikiri hayo mafanikio aliyapataje kama si kuripoti habari za upinzani na WCB?Chombo cha habari akianzishe Millard Ayo, mafanikio yapatikane halafu wajinga fulani waanze kumpangia jinsi ya kufanya kazi zake!
Wakati anaanzisha chombo hakuenda kumuomba Lema ushauri halafu baada ya kufanikiwa eti ndio wajinga fulani wanaanza kutoa ushauri!
Kama Lema anadhani Millard Ayo hatangazi yale ambayo yeye anadhani yanafaa yatangazwe basi Lema aanzishe chombo chake cha habari! It's just simple!
Kulazimisha mambo fulani kwa matakwa yako ni udikteta!
Kwa hiyo Magufuli kulazimisha kuzuia mikutano ya siasa ili afanye yeye na CCM yake ni udikteta?