Godbless Lema amuonya Millard Ayo kwa kuonesha unyama wa Polisi wa Kenya na kuficha unyama wa Polisi wa Tanzania

Zamani elimu ya ngumbaru ilikuwa ni kwa ajili ya wazee, ila sasa vijana ndiyo wajinga kupita kiasi kama huyu anayejiita MsemajiUkweli.
Ubongo wako haujai kisoda
 
Zamani elimu ya ngumbaru ilikuwa ni kwa ajili ya wazee, ila sasa vijana ndiyo wajinga kupita kiasi kama huyu anayejiita MsemajiUkweli.
Ubongo wako hauna kisoda
Kudhani unanijua wakati hunijui ni ujinga! Kumbuka ujinga sio tusi!

Kusema ubongo wangu hauna kisoda ni kuonyesha upumbavu wako uko kiasi gani kwa sababu kama unajua ubongo wangu hauna kisoda, kwa nini unapoteza muda wako kuhangaika na mtu ambaye ubongo wake hauna kisoda!

Kumbuka upumbavu ni sifa kama vile mtu mrefu au mfupi!
 
Halafu wanakiita "wanademokrasia" huku wakilazimisha media ziandike wanayoyataka wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpo wangapi?Millard hakufanikiwa kwa msaada wa wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lema bana si akafungue chombo chake kwani Milard chombo cha Taifa mpaka mumpangie.
 
We wadhani Millard hajipendi? Ikiwa mti mbichi kama Tundu Lissu umetendewa vile na hakuna kilichotokea itakuaje kwa mti mkavu Millard? Acha dogo afanye yaliyo salama kwake
 
Lema ni mtu mbaya sana. kwanini anataka kumuharibia biashara yake kijana wa watu?? Huu ni ulozi.
 
Nadhani Lema angeanza kwanza kumshauri mwenyekiti wake mbowe kuachia ngazi, ili kukinusuru chama! Badara ya kuingilia kazi na fani zawatu.

G.lema ujue Yajayo Yanafurahisha ndani ya chadema! Nakushauli ukae kimya na uheshimu kazi zawatu.

Rudi shule ukajifunze kuandika.
 

Millard Ayo vs Taaluma ya uandishi.

Millard Ayo atabaki Mirad hayo na taalum ya uandishi na misingi yake itabaki kuwa taaluma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…