Godbless Lema amuonya Millard Ayo kwa kuonesha unyama wa Polisi wa Kenya na kuficha unyama wa Polisi wa Tanzania

Kama ameamua kuingia kwenye tasnia ya habari basi asiwe bias
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichosema lema ni reasonable lkn tuangalie mazingira ya nchi yetu, je, milard akiweka video kama hiyo ni kosa kisheria?
Hakuna vyombo vya habari vimewahi onyesha Unyama wa polisi?
Wakati wa mwangosi hawakuonyesha?
Kwa akwilina hawakuonyesha?

Baadhi vilonyesha, tunachpaswa kujua ni kuwa kwa kenya imezidi kwan hali kama hiyo tanzania wakati wa vyama vingi haijawai kutokea lkn enzi za mwalimu watu walikula viboko kwa kigezo cha kuzurura.
 
Huu sio ukweli ni upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa me nasema ni madikteta hatari mara mia kushinda magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo " mtoto"...Mh Lema achana nae atakunajisi ref Dudu baya...
 
Kwahiyo unataka kusema waliompiga mkwara kutikuonesha matukio ya hapa kwetu niwajinga, maana walimpangia cha kufanya. Lema anamtahadharisha tu kuwa asifikiri kuficha ya hapa kutamsaidia. Aangalie baadhi ya watu waliojaribu kujikomba sana mwisho wa siku yakawakuta.
Lakini pia acha kumshutumu Lema, hayo nimawazo yake, tia ya kwako. Kama Lema ni mjinga na wewe ni mjinga sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tell them
 
Lema ni mjinga sana! Eti anataka watu wamuone Ayo ni mbaya. Huu ujinga upo tu kwa viongozi wa chadema pekee, badala ya Lema amshauri Mbowe aache kutumia hela za ruzuku vibaya ili angalau waweke hata kakituo kao karedio badala yake anataka watu wamchukie Ayo anayejitaftia riziki kupitia vyombo vyake vya habari.

Kwanza kabla ya kufika huko angejiuliza ile kampeni yao ya kususia laini ya voda iliishia wapi?

Hutupendi kuwaita watu wazima wajinga, lakini kiukweli ni ujinga mkubwa kuina uongozi mzima wa chadema wakianzisha kampeni ya kususia laini za Voda alafu baada ya muda mfupi wanatoa laini zao za Voda kwa umma kwa ajili ya kupokea michango.
Alafu wanategemea mtu mwenye akili zake awaone wako serious kupewa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da mkuu umelenga sana umempa jibu ambalo akilisoma yaani atajiona fala wa hali ya juu huyo lema no comet
 
Umeandika mambo ya maana ila tu umerumia maneno yenye ukali wa maneno.
Kiufupi Lema asijifanye kuwa hajui Katiba yetu ni mbaya.
Na wabunge wameshindwa kuibadilisha Katiba.
Sasa Millard kazi yake ni uandishi. Hawezi kuandika mambo mabaya ya Serikali kwa sababu Katina inayotakiwa itungwe na Lema haimlindi Millard Ayo.
Lema na wenzake wanatakiwa waelewe kuwa Millard sio mwanasiasa na sio mwanaharakati.

Lazima aangalie sehemu ya kula .
Alishaona Azory alichofanywa.
Lema aende bungeni kwanza akatuletee katiba mpya
 

Unafahamu ethics za taaluma ya journalism au unaongea tuu
 
Unapanic kama mwanamke.

Kwani serikali ya CCM inavyowapangia wamiliki binafsi wa vyombo vya habari nini cha kuripoti mliwasaidia kuanzisha vyombo vyao?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliokupa hizo likes nao ni wajinga wenzio . Kwa kuwaona wengine wajinga, ukadhani wewe ni mwerevu. Kama ambavyo hutaki Lema ampangie Millard cha kufanya nawe usimpangie Lema cha kukoment.

Nchi hii tumekuwa na unafki uliopitiliza . Unapotangaza ubaya wa jirani . Wakati hapa nyumbani huwezi hata kusimulia yanayofanyika kwa WaTz wenzio ni zaidi ya UNAFKI

Odhis *
 
dah! mkuu!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…