Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Hata Chacha Wangwe aliuawa kinyama baada ya kutaka uenyekiti wa Chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu nao huzeeka si ishi katika upumbavu siku moja nawe utaitwa mzeeHata Chacha Wangwe aliuawa kinyama baada ya kutaka uenyekiti wa Chadema
Sababu kauawa na dolaSerikali ni jilala na hao wanaozomea pengine hawajui sababu ya kifo cha huyo marehemu.
Ushahidi wa dola kuhusika unao?. Umaarufu wa marehemu ndio unakufanya uamini kwamba dola imehusika?.Sababu kauawa na dola
Una akili duni sana!Ushahidi wa dola kuhusika unao?. Umaarufu wa marehemu ndio unakufanya uamini kwamba dola imehusika?.
R.I.P Mzee Ally Kibao. Mungu akupe pimziko la amani. Awafichue watesi wako wote maana hata kama ulikuwa na makosa ungepelekwa kwenye vyombo vya sheria na si kufanyiwa unyama.
Naenda sambamba na kauli mbiu ya great thinker siongozwi na mihemko.Una akili duni sana!
Nadhani huna akili kabisa, Huyo unayemsifia alisema hadharani kwamba Utekaji ni Drama, na kwa tukio hili amedharauliwa na kila mtu kote DunianiNaenda sambamba na kauli mbiu ya great thinker siongozwi na mihemko.
Samia hana sababu yoyote ya kuua mwanasiasa yoyote yule. Amekuwa Rais anayetoa ushirikiano wa kila namna katika ukuzaji wa demokrasia kwa kipindi chote akiwa Rais.
Mbinu chafu za kutaka kuichafua awamu yake zitashindwa tu. Michezo michafu ya kisiasa ya kutaka kuitetemesha serikali yake itashindwa tu.
Marehemu Kibao apumzike kwa amani.
Kaagiza ufanyike uchunguzi wa kina. Hii ni michezo ya kisiasa na wanaoicheza ndio wenye majibu ya unyama unaofanyika.Nadhani huna akili kabisa, Huyo unayemsifia alisema hadharani kwamba Utekaji ni Drama, na kwa tukio hili amedharauliwa na kila mtu kote Duniani
HawajaliWamepata aibu ya kutosha leo.
Una ushahidi?Anajipeleka kwenye msiba ambao wao ndio chanzo
AiseeeSio kumuhusu tuu, bali jeshi lake linahusika
Naona huna hofu kabisa na usalama wa mmeo, au haumpendi!!.Masauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.