Godbless Lema amwelekeza Hamad Masauni kutokuhudhuria Mazishi ya Watu Wanaotekwa, atahadharisha kwamba inaweza kusababisha Maafa Mengine

Una akili duni sana!
Naenda sambamba na kauli mbiu ya great thinker siongozwi na mihemko.

Samia hana sababu yoyote ya kuua mwanasiasa yoyote yule. Amekuwa Rais anayetoa ushirikiano wa kila namna katika ukuzaji wa demokrasia kwa kipindi chote akiwa Rais.

Mbinu chafu za kutaka kuichafua awamu yake zitashindwa tu. Michezo michafu ya kisiasa ya kutaka kuitetemesha serikali yake itashindwa tu.

Marehemu Kibao apumzike kwa amani.
 
Nadhani huna akili kabisa, Huyo unayemsifia alisema hadharani kwamba Utekaji ni Drama, na kwa tukio hili amedharauliwa na kila mtu kote Duniani
 
Kaagiza ufanyike uchunguzi wa kina. Hii ni michezo ya kisiasa na wanaoicheza ndio wenye majibu ya unyama unaofanyika.

Wewe mwenye akili japo kidogo kwanini usije na utatuzi unaishia kulialia tu humu jukwaani?.
 
Back
Top Bottom