johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasemaje?Hosea 4:6.
Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!Wewe unewahi kuona wapi Jaji anasema kuwa Hati ya mashitaka imekosewa Sana, lakini wakati huo huo anasema kuwa kesi ni lazima iendelee!
Kama siyo maagizo ya watawala, unaweza kuongelea vipi suala hilo??
Hakika mhimili wa Mahakama umejiabosha kwa kiasi kikubwa Sana!
Unauhakika na ulichoandika?? Maana hakuna mahaka yakusema amri inatoka juu. Ninani aliyetoka salama kwenye mahakama zetu? Ninani ambaye hajawahi inunua haki yake? Au hujui kuna mapatano ulipe kesiiishe?Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.
Kwa mujibu wa katiba mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la mahakama siyo serikali.
Mungu ni mwema wakati wote!
Google!Inasemaje?
Huru kivipi? Jaji anateuliwa na Rais unategemea niniMbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.
Kwa mujibu wa katiba mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la mahakama siyo serikali.
Mungu ni mwema wakati wote!
Huna pesa unaenda na majiUnauhakika na ulichoandika?? Maana hakuna mahaka yakusema amri inatoka juu. Ninani aliyetoka salama kwenye mahakama zetu? Ninani ambaye hajawahi inunua haki yake? Au hujui kuna mapatano ulipe kesiiishe?
Mwandishi halijui Hilo. Unalipia kitu hujawahi Fanya. Huyu jamaa vipi. Au ndo mmojawapo WA watekaji wasiofahamika? Anatuchokiza ili she kututeka?Huna pesa unaenda na maji
KabisaMwandishi halijui Hilo. Unalipia kitu hujawahi Fanya. Huyu jamaa vipi. Au ndo mmojawapo WA watekaji wasiofahamika? Anatuchokiza ili she kututeka?
Mkuu, unaishi anga zipi? Katika miaka sita iliyopita muhimili wa mahakama umeingiliwa mara ngapi?Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.
Kwa mujibu wa katiba mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la mahakama siyo serikali.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kasome katiba ya JMT!Kumbe una uwezo duni kiasi hicho !
Kwani jaji anateuliwa na nani? Jaji ni seeikeli impliedly.Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!
KivipiKumbe una uwezo duni kiasi hicho !
Tatizo siyo la mahakama bali ni Serikali. Wakati wa awamu ya mwendazake, aliwateua baadhi ya wasiojulikana na kuwapa ujaji kwa lengo la kutaka wakahukumu kwa matakwa ya serikali. Majaji wa namna hiyo bado wapo mahakamani ingawa mwendazake ameondoka.Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!
Hata msajili wa vyama vya siasa aliyeisajili Chadema ni mteule wa Rais lakini hiyo haimaanishi Chadema ni serikali!Kwani jaji anateuliwa na nani? Jaji ni seeikeli impliedly.