Godbless Lema anajaribu kuichonganisha Serikali na Mahakama lakini hatafanikiwa. Suala la Mbowe ni la kisheria siyo kiutawala

Godbless Lema anajaribu kuichonganisha Serikali na Mahakama lakini hatafanikiwa. Suala la Mbowe ni la kisheria siyo kiutawala

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.

Kwa mujibu wa Katiba, mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la Mahakama siyo Serikali.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Wewe unewahi kuona wapi Jaji anasema kuwa Hati ya mashitaka imekosewa, lakini wakati huo huo anasema kuwa kesi ni lazima iendelee!

Kwa mujibu wa sheria ilitakiwa pale pale amwachie huru mtuhumiwa, kwa kuwa upande wa mashitaka umeshindwa kuandaa makosa ya mtuhumiwa.

Kama siyo maagizo ya watawala, unaweza kuongelea vipi hiyo scenario??

Hakika mhimili wa Mahakama, hivi sasa unatekeleza yale inayooagizwa na watawala na kwa kiasi hicho, umejiaibisha kwa kiasi kikubwa Sana, miongoni mwa macho ya watanzania
 
Wewe unewahi kuona wapi Jaji anasema kuwa Hati ya mashitaka imekosewa Sana, lakini wakati huo huo anasema kuwa kesi ni lazima iendelee!

Kama siyo maagizo ya watawala, unaweza kuongelea vipi suala hilo??

Hakika mhimili wa Mahakama umejiabosha kwa kiasi kikubwa Sana!
Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!
 
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.

Kwa mujibu wa katiba mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la mahakama siyo serikali.

Mungu ni mwema wakati wote!
Unauhakika na ulichoandika?? Maana hakuna mahaka yakusema amri inatoka juu. Ninani aliyetoka salama kwenye mahakama zetu? Ninani ambaye hajawahi inunua haki yake? Au hujui kuna mapatano ulipe kesiiishe?
 
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.

Kwa mujibu wa katiba mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la mahakama siyo serikali.

Mungu ni mwema wakati wote!
Huru kivipi? Jaji anateuliwa na Rais unategemea nini
 
Nukuu toka kwa Musiba "Majaji wote wanateuliwa na raisi hakuna wa kunifunga" Chain of command ..
 
Mbunge wa zamani wa Arusha ni vema akapambana na hali yake huko huko Canada na kuwaacha watanzania waendelee kujiletea maendeleo.

Kwa mujibu wa katiba mahakama ni muhimili unaojitegemea hivyo kama ukiruhusu kuingiliwa hilo litakuwa ni tatizo la mahakama siyo serikali.

Mungu ni mwema wakati wote!
Mkuu, unaishi anga zipi? Katika miaka sita iliyopita muhimili wa mahakama umeingiliwa mara ngapi?
 
Tatizo la Jaji siyo tatizo la serikali bwashee!
Tatizo siyo la mahakama bali ni Serikali. Wakati wa awamu ya mwendazake, aliwateua baadhi ya wasiojulikana na kuwapa ujaji kwa lengo la kutaka wakahukumu kwa matakwa ya serikali. Majaji wa namna hiyo bado wapo mahakamani ingawa mwendazake ameondoka.
 
Back
Top Bottom